kendrick13
Member
- Jul 12, 2015
- 43
- 58
Cjaelewa lovie lady[emoji1284][emoji1286][emoji1283][emoji161][emoji162][emoji3466][emoji149][emoji3067][emoji148]🩴[emoji151][emoji3449][emoji165][emoji3066][emoji167][emoji309][emoji150][emoji597][emoji598][emoji593]
kendrick13 Namaanisha beba familia yako kwa amani kabisa wala usiseme juu ya hiyo Kero..kusanya kila kilicho chenu kisha ita usafiri hama na familia yako huo mwezi ujao ambapo kodi yako inaisha🙏Cjaelewa lovie lady
Asante kwa ushaurikendrick13 Namaanisha beba familia yako kwa amani kabisa wala usiseme juu ya hiyo Kero..kusanya kila kilicho chenu kisha ita usafiri hama na familia yako huo mwezi ujao ambapo kodi yako inaisha[emoji120]
Nlitaka kuwatokea niwatimue lkn wife akashaur tusubir kodi iishe tuhame mkuu, haina haja ya kugombana na watuMshirikishe kwanza mwenye Nyumba kama kawaruhusu ondoka kama hajawaruhusu waondoe au mwambie mwenye nyumba awaondoe
Una hama kwa kupenda au ni sababu ya hiyo kero? Kama ni hiyo kero umeshamfikishia faza house wenu ukasikia ataizungumziaje?Nlitaka kuwatokea niwatimue lkn wife akashaur tusubir kodi iishe tuhame mkuu, haina haja ya kugombana na watu
Kuna kero zngne km makelele around the neighbourhood na eneo kukosa utulivuUna hama kwa kupenda au ni sababu ya hiyo kero? Kama ni hiyo kero umeshamfikishia faza house wenu ukasikia ataizungumziaje?
Mke wako ana busara sana.Nlitaka kuwatokea niwatimue lkn wife akashaur tusubir kodi iishe tuhame mkuu, haina haja ya kugombana na watu
Sawa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Mke wako ana busara sana.
Maana mngeanzisha bifu la bure tu hata kurogwa bila sababu. Ingekuwa nyumba yako hapo ingekuwa halali kupambana.
Mwambie mkeo akamate Mirinda nyeusi hapo kwa Mangi bili alete kwangu.