Anawezaje kukutimizia tendo la ndoa wakati hajakuoa?Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.
ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu
Naomba ushauri wako tafadhari.
Ww ni kicheche tuNimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.
Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, mbi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.
Naomba ushauri wako tafadhari.
😂kila akiongea huwasha moto ndani yangu.
Kwa huo moto, mpike kabisa
Amesema mwanaume wake, hujaelewa kuwa huyo ni mumewe anayekeshaga naye kitandani kila siku?Anawezaje kukutimizia tendo la ndoa wakati hajakuoa?
Mmh!Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.
Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande mwingine na kulala fofofo na kuniacha na nyege zangu nikiteseka.
Nikiwa nakereka na mwanaume wangu, ametokea mkaka huyu na kunivuruga kabisa, kanifanya nimpende sana bila masharti. Ananivutia sana kwa kweli, na anajaribu kunifanya niwe naye kila saa ni mcheshi na mchangamfu mno kwangu.
Ana sauti tamu na kila akiongea huwasha moto ndani yangu.
Shida ipo hivi, huyu mkaka ameoa. Ila bado sijalala naye; na yeye ni mchungaji wa kanisa.
Nawaza nifanyeje ili nisiingie katika dhambi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.
Naomba ushauri wako tafadhari.
Umbea tena? Na mada umeweka publicUmbea utaacha lini 😂
Sio mumewe huyo. Hajaolewa huyo manziAmesema mwanaume wake, hujaelewa kuwa huyo ni mumewe anayekeshaga naye kitandani kila siku?
We hujui kuwa huyo mwanaume wake anayemuachaga akiteseka na nyege zake ni wa hapa hapa jf country?Achana na huyo pastor aliyeoa, tafuta kijana shababy humu jf, wapo wengi sana ni wewe tu na jinsi utakavyocheza karata zako. Ila hata huku nadhani wa dk2 wapo wengi tu.