Dah upele humuota asiye na kucha. Ila ukiona kaka yako kafanya hivyo ujue amekuchoka kumuomba omba vocha. Sasa wewe umesomea ualimu unakataa vipi kazi yako pendwa kwa sababu tu ya hiyo bustani ya mchicha.
Ushauri wa jinsi ya kuepuka ajira yako, ukiajiriwa wewe usiripoti kazini hapo utakuwa tyr umejitoa. Ila ulete mrejesho baada ya mwaka mmoja wa kujiondoa kwako.