mkuu,
jitahidi kuvumilia uachane naye tu. no way out..unless kama mnataka ku-share. Ingawaje umempenda, lakini lazima ukubaliane na ukweli hali.
Kuwa mvumilivu, kama kweli ana nia na wewe atakuja clean..yaani atakuwa tayari ameshaamua kumuacha jamaa yake. Ila for the time being, assume kama hiyo scenario ni unlikely.. Songa mbele mkuu, wako wengi, time itasaidia, Mungu atakusaidia tu utoke..
thanks[/QUOTNE]Thanx bt nampenda sana huyu binti kiasi kwamba i wish cku moja aje kuwa my wife, nimemweleza kwa kila aina ya neno na hisia zote za moyo wangu ila ndio hvyo mnasimamo anaonipa unanickitisha
Thanx bt nampenda sana huyu binti kiasi kwamba i wish cku moja aje kuwa my wife, nimemweleza kwa kila aina ya neno na hisia zote za moyo wangu ila ndio hvyo mnasimamo anaonipa unanickitisha
mm naona hii ndio mwisho ctakuja kupenda tena,najuta kwa nn nimevunja nadhiri yangu niliyoapa hapo wanzo.
Hata hawa girls wawili wa mwanzo walinitenda na niliwaambia live kuwa kuna cku watakuja kunikumbuka na kweli later mmoja alirudi na kutaka turudiane bt nikakataa, mwingine mpaka sasa anajuta, kwa kawaida nikipenda napenda haswa tena kwa moyo wangu wote.
yah bt mbna hata mm nilipokua A level nilikua na lover pia bt kwa sasa cpo nae tena! I bilv mapenz ya sekondar ni vigumu kupelekea ndoa bt huyu wa sasa naamini inaweza kuleta ndoa coz wote tupo chuo, inanichanganya kwa kwel hasa ukizingatia napendwa sana na girls ww wote wanaotokea kunipenda mm nakuwa siwapendi, naona kama mkosi vile.Peaceficky, its obvious that this girl is not that into you! No woman anayekupenda will ask of you what she
has. So my friend if you can live with the fact that wewe ni mshika pembe then stay otherwise this is
nothing but a "heart break" in the making.
NOTE
Im will bet you fifty bucks that huyo mwenzio Mr. "A'level" labda hata hajawai kuambiwa ur existance!!
yah bt mm naona kama mkosi vile coz napendwa na gals wengi tu bt mm nakuwa cwapendi yani wanakua hawajanivutia moyon then wengi wanaojileta wenyewe nawaona kama wahuni watabia vile bt ninaowapenda mm ndio hawa wenye matatizo kama haya,yani inanichanganyamkuu haya mambo ya mapenzi hayana formula. sometimes hayako straight forward.
Ukichukulia kila mtu ana matarajia yake kwenye mahusiano, kwa hiyo complexity inaongezeka
Usikate tamaa kirahisi hivyo. Kuwa mvumilivu tu. Baada ya muda mambo yatajipa.
Umeambwa kwa ajili ya binti mmoja tu..jiamini, mambo yatakaa sawa tu.
yah bt mbna hata mm nilipokua A level nilikua na lover pia bt kwa sasa cpo nae tena! I bilv mapenz ya sekondar ni vigumu kupelekea ndoa bt huyu wa sasa naamini inaweza kuleta ndoa coz wote tupo chuo, inanichanganya kwa kwel hasa ukizingatia napendwa sana na girls ww wote wanaotokea kunipenda mm nakuwa siwapendi, naona kama mkosi vile.
yah bt mm naona kama mkosi vile coz napendwa na gals wengi tu bt mm nakuwa cwapendi yani wanakua hawajanivutia moyon then wengi wanaojileta wenyewe nawaona kama wahuni watabia vile bt ninaowapenda mm ndio hawa wenye matatizo kama haya,yani inanichanganya
Tangu 2008, nimekuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana na tulitarajia kuona, bahati mbaya akatembea na waziri mmoja kijana, nilipogundua ilinibidi niachane naye. Baada ya hapo nikakutana na mdada mwingine ambaye nilikuwa naelekea kuanza uhusiano naye, kwani alinambaia kwamba yuko single. Kilochotokea ni kupigiwa simu kutishiwa maisha na mtu aliyejitambulisha kama boyfriend wa huyo mdada. Sikutaka kujua nini wala nini ilinibidi nikimbie kwani nilithamini sana uhai wangu. Hivi majuzi tu, nimekutana na mdada ambaye nimetokea kumpenda na tumewasiliana vizuri kweli, she has made me very happy just reading from her na kuingiwa na matumaini kwamba nimempata mwenza. Kilichobakia ni mimi na yeye kuzungumzia maisha ya baadae na kujuana vizuri. Hii excitement ilinibidi nimishirikishe shangazi yangu na hata rafiki wa karibu. Kwa bahati mbaya baada ya kumwambia rafiki yangu kumhusu huyu mdada, alistuka na kunyamaza. Alipofika nyumbani alinitumia ujumbe ulionistua kweli akiniambia kwamba mie ni kichaa, mbona nashobokea mademu wake? Sikumwelewa, kesho yake kaja kwangu na kuanza maneno maneno mengi na makali sana, heti sina adabu, kila mara natafuta mademu wake. Wanajamvini, sikufahamu kwamba huyo mdada niliyekutana naye alishawahi kutoka na rafiki yangu. Baada ya kumwelezea, huyu dada alikuja juu na hata kunitukana badala ya kuniuliza the whole stori
Concern:
Ni kwa nini kila mdada ninayekutana naye kitu kibaya kinatokea kama hivi? Naombeni maoni yenu. Kwani huyu dada wa mwisho nilitegemea kuwa dream girl mwenye qualities zote. Na kusema kweli, mimi siyo cheater, I have never cheated, and very laid back. I get alot of women come to me, but I am very scared. Hii incident ya mwisho imeniogopesha zaidi nachanganyikiwa sijui la kufanya
Engineer | Ministry of Infrastructure
Currently in China
yah bt mbna hata mm nilipokua A level nilikua na lover pia bt kwa sasa cpo nae tena! I bilv mapenz ya sekondar ni vigumu kupelekea ndoa bt huyu wa sasa naamini inaweza kuleta ndoa coz wote tupo chuo, inanichanganya kwa kwel hasa ukizingatia napendwa sana na girls ww wote wanaotokea kunipenda mm nakuwa siwapendi, naona kama mkosi vile.
yah thanx kwa kuweka hiyo post nimeisoma inshort mikasa inafanana coz wote tuliotegemea kuwa watatufaa ndio hao wana matatizo bt hapa kuna tofauti ya kimazingira coz mm huyu girl si mtaani nasoma nae chuo kimoja na haipiti cku bila kumtia machoni thus y kumuacha tu au kuchukua uamuz bado nasita kutokana na maumivu ambaya nitayapata daily, cjui unanishauri nini kwa hilo?Hebu angalia post ya mtu mmoja humu ndani..isome kwa makini, nadhani itakusaidia kukujengea uwezo wa kufikiri
(samahani kwa mtoa mada ikiwa hataridhishwa na hili)
Soma man..
Wadau niliwahi kutendwa kama mara 2 hv kiasi kwamba niliapa ctakuja kupenda tena.Nimedumu bila mpenzi kwa miaka miwili bt last 6 months kuna girl nimempenda sana tena nimevumilia bt mwezi huu nikampa ukweli akanizungusha kama cku wk hv then akakubali kuwa na mm,
hii ni baada ya kumuhakikishia kwamba cna mpenz na kuna cku nilimwambia kuwa namuamini sana na ili yeye pia aniamini mm nilimshawishi mpaka akakubali kwenda Angaza tukapima HIV na wote majibu yetu yapo safi,
sasa baada ya wk tatu ananiambia kuna boyfrnd wake alisoma nae A level na bado hawajaacha eti amekubali kuwa na mm coz ameona nampenda kwa dhati na yeye pia ananipenda., nikamwambia amuache huyo boy ili abaki na mm,akasema ni vigumu sana kumuacha coz is her 1st lover, amekiri ananipenda bt kumuacha huyo school lover wake ndio hawezi
Nampenda sana huyu binti yani ameuteka moyo wangu haswa bt mm ctak ku share mapenz je nifanyeje huyu binti anielewe na awe wangu daima!
Je nikimuoa huyu binti huyo school lover wake hawez kweli kuniibia mke coz kauli yake binti kuwa 1st lover ni vigumu kumuacha inanichanganya mno.