NAOMBA USHAURI YA HILI WAZO LANGU

NAOMBA USHAURI YA HILI WAZO LANGU

Falih

New Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habarini wanajukwaa..!!
Kwa jina naitwa HUSSEIN FALIH ni mzaliwa na mkazi wa jiji la DSM na pia no mwanafunzi wa kidato cha 5 mchepuo CBG katika shule ya sekondari CHAMWINO ambayo ni shule ya serikali iliyopo mkoani DODOMA..!
Ila kwa sasa nasikitika kuwaambia kwamba nipo nyumbani TEMEKE yapata mwezi 1 na nusu siendelei tena na masomo kutokana na sababu zangu binafsi za kiafya, hivyo basi kuna mambo ambayo nimeyawaza na nikaona sio mbaya kuwashirikisha ndugu zangu kwa namna moja au nyngine ili niweze kupata ushauri kutoka kwenu baada ya kuwaza kwamba "NIACHANE KABISA NA SHULE KUTOKANA NA MDA NILIOUPOTEZA NIKIWA NYUMBANI BILA KUSOMA". Na nikaona nianze kuangaika nitafute chuo chochote kile cha AFYA ili niweze kusoma kozi yoyote ya afya kwa ngazi ya DIPLOMA kwani hata hivyo ufaulu wangu naona unaniruhusu kwasababu nilipata division 2 kwa kwa alama zifuatazo kwenye masomo ya SAYANSI,,, PHYS {D}, CHEM {C}, BIOL {B} na MATH {C} ili angalau niweze kutimiza ndoto zangu ila kinachoniumiza zaidi ni kwamba sina support yoyote ile ambayo inaweza kunilipia ada nikiwa chuoni kwani mimi ni yatima wa wazazi wote wawili, hivyo basi ndugu zangu naomba ushauri wenu kwa haya ninayoyafikiria tafadhali:-
1. Niachane kabisa na shule ili niweze kupambana kwenda chuo kusomea kozi ya afya na sio CBG
2. Je, naweza kutafuta msaada hata wa mikopo ili niweze kwenda chuo?
3. Na kama nikipata bahati ya kwenda chuo nisome kozi gani ya afya ambayo ni MARKETABLE kwa ngazi ya diploma
4. Au nirudi shule nikapambane na CBG bila kujali mda nilioupoteza nikiwa nyumbani?
NAOMBA USHAURI WENU TAFADHALI.
IMG_20180610_163151.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAOMBA USHAURI WENU TAFADHALI.View attachment 1050609

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kama afya yako imekaa sawa na unaona unauwezo wa kurudi shule kusoma,nakushauri rudi Chamwino kapambane na CBG yako,Kwanza gharama za sekondari ni nafuu zaidi ukilinganisha na gharama za chuo na pia utakuwa umechagua njia nyepesi ya kukufikisha chuo kwa level ya degree.
 
Dogo tozi ww , kasome chamwino .Kama gharama za chamwino umeshindwa utaweza za kusoma certificate ? Kapambane Chamwino
 
Soma hiyo CBG piga fresh nenda chuo udsm ukale booom, acha kutapatapa,

Kitu kingine punguza usela, pambana, unaumwa ila unadunda mtaani na vibegi vyenu, watoto wa makonda mnayumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima utakuwa umedanganyana na huyo tozi mwenzako muachane na shule kwa imani kwamba mnapoteza tu muda hivyo bora mkasome tu diploma ili baada ya miaka michache muajiriwe na kuanza kula mshahara. Uamuzi ni wako na kupanga ni kuchagua.

Ila ningekuwa ni mimi, ningekomaa na hiyo cbg yangu ili nimalize six kwanza halafu hayo mengine yatafuata.
 
bora upige io CBG si ghali kama chuo. af ukpga fresh unaenda zako degree unapigwa mkopo
maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom