godwinleo Member Joined Mar 21, 2014 Posts 35 Reaction score 6 Apr 28, 2014 #1 Hivi kuwa na MTU unampenda sana lakini anakupa stress na kuwa na MTU usiyempenda lakini anakukufanya uwe happy every day.YUPI BORA
Hivi kuwa na MTU unampenda sana lakini anakupa stress na kuwa na MTU usiyempenda lakini anakukufanya uwe happy every day.YUPI BORA
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Apr 28, 2014 #2 We ndo mwenye ichaguzi.
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 Apr 28, 2014 #3 Sa swali gani hilo? yani umeshindwa kulidadavua mwenyewe! haya jibu lake A
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,195 Apr 28, 2014 #4 Bora kupendwa kuliko kupenda...
Toria JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 1,177 Reaction score 699 Apr 28, 2014 #5 Bora kua nao wote wawili,stress zikikolea upooze na hapnes
hips.com JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 344 Reaction score 91 Apr 28, 2014 #6 Bro A na B yote ni majibu ila yaandike kwenye karatasi chukua pen Angalia juu dondosaga pale kati. pen itakapo tachi hapo hapo tiririka napo
Bro A na B yote ni majibu ila yaandike kwenye karatasi chukua pen Angalia juu dondosaga pale kati. pen itakapo tachi hapo hapo tiririka napo
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 28, 2014 #7 Mpende akupendaye..............
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 Apr 28, 2014 #8 bora uwe nao wote,challenge za kutosha.matatizo mengi akili nyingi....loading error....................
bora uwe nao wote,challenge za kutosha.matatizo mengi akili nyingi....loading error....................
M mtengwa JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 1,603 Reaction score 871 Apr 28, 2014 #9 Hilo ni kama swala la serikali 3, wengine wanaona bora 2 wengine 3. Sasa ni uamuzi wako
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Apr 28, 2014 #10 jitahid kwenye mapenzi upendwe narudia tna upendwe tuuuuuu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Apr 28, 2014 #11 Kati ya mvua na jua bora nini?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Apr 28, 2014 #12 Utawezaje kuwa na mtu usiyempenda?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Apr 28, 2014 #13 Mtu unayempenda lazima akupe stress sababu unajali, na mtu usiyempenda hakupi stress sababu hujali. Kupanga ni kuchagua.
Mtu unayempenda lazima akupe stress sababu unajali, na mtu usiyempenda hakupi stress sababu hujali. Kupanga ni kuchagua.
godwinleo Member Joined Mar 21, 2014 Posts 35 Reaction score 6 Apr 30, 2014 Thread starter #14 Sawa mkuu
privacy JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 1,446 Reaction score 1,282 Apr 30, 2014 #15 Kongosho said: Mtu unayempenda lazima akupe stress sababu unajali, na mtu usiyempenda hakupi stress sababu hujali. Kupanga ni kuchagua. Click to expand... Umemjibu poa sana
Kongosho said: Mtu unayempenda lazima akupe stress sababu unajali, na mtu usiyempenda hakupi stress sababu hujali. Kupanga ni kuchagua. Click to expand... Umemjibu poa sana
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,588 Reaction score 3,521 Apr 30, 2014 #16 godwinleo said: Hivi kuwa na MTU unampenda sana lakini anakupa stress na kuwa na MTU usiyempenda lakini anakukufanya uwe happy every day.YUPI BORA Click to expand... Wewe ni mwanamke au msichana?
godwinleo said: Hivi kuwa na MTU unampenda sana lakini anakupa stress na kuwa na MTU usiyempenda lakini anakukufanya uwe happy every day.YUPI BORA Click to expand... Wewe ni mwanamke au msichana?