Mtu unayempenda lazima akupe stress sababu unajali, na mtu usiyempenda hakupi stress sababu hujali. Kupanga ni kuchagua.
Wewe ni mwanamke au msichana?Hivi kuwa na MTU unampenda sana lakini anakupa stress na kuwa na MTU usiyempenda lakini anakukufanya uwe happy every day.YUPI BORA