Naomba ushauri wenu

Huyo hyo ndo wako komaa nae, by nature all men are polygamists kuna variations ndg ndogo
 
Achana nae . Mwambie ye ni shetani wa mguu mmoja ,tena ni mshamba hajakua na hana adabu kama nyau wa hotelini.
Achana nae maidia akyanani utakuja kulia machozi ya pilipili oneday.
Me watu wa hii design aisee wakikatisha mbele yengu yani its just illegal to kill them.
Na hadi kujua ndo zake zimefika,once a liar ......!
Shaurilo bibi. Me kankera ka namjua.
 

umemshauri vyema kabisa!
 

 
hapo kosa kosa wewe utakuwa wa 5 au 7, kuendelea kuwa naye sio kwamba unampima matendo but umekubaliana na matendo ambayo kasha kuonyesha!!

Ila some time nyie wenyewe waznguaji sana that while now hatuwaamini kabisa!!
 

Komaa naye. Wafrica ndivyo tuluvyo. Mia
 
Aisee.... mnajijua saaanaaaaa........
nilitumia hii njia..... yule kaka sikumpa muda wa kujitetea na nikamwambia yamekwisha.....
akajua natania, sababu nilikuwa nampenda saaaanaaaa......
mkaka wa watu ananiomba msamaha mpaka kesho haamini kama sijamsamehe.... na kuoa kagoma, lol!
snowhite, njoo utoe suluhisho mbadala, ili angalau kama ataachwa kweli basi mkaka awe na nguvu ya kupenda na kuoa mwingine
 
Kuna mtu kauliza upo njia panda ya kuwenda wapi binti?
Wakati njia ni moja 2 hapo tena inaonekana tema moyo maisha yasonge..
 
Amandiva uko njia panda ya wapi...pole sana kwa mapenzi yenu ya kutokuaminiana,maana hadi mnapekuana simu seem nyinyi ni waarabu wa pemba,mnajuana kwa vilemba! Amekumulika mchana,msamehe akuoe,akutie kiberiti kabisa!
 
Hakuona thaman yko akat upo nae uyo hana mapenz ya dhat hta kdg ucmpe nafsi
 
Sawa,nimekuelewa Young K...!!Wanaume wanamaudhi sana
ehee wanaume wana-maudhi sana, si eti Amandiva?..ha ha ha ha ha ha ha, sikia kitu kimoja dada angu ulichokikosa wewe ni taarifa nzuri kuhusu wanaume, na kibaya zaidi vijana wengi tumekuwa tukitengeneza ndoto na malengo kadha wa kadha juu ya maisha ya mahusiano ili-hali misingi tuliyosimamia ni aidha ujinga mtupu au upoteve/dhambi, please usimtege SHETANI eti ukae kimya ukimchunguza huyo jamaa!!! kama alikuumiza awali kisha ukashindwa kuyatoa yale maumivu ya awali usijidanganye tafuta watu wa classs yako utafurahi tu..maisha hayana kanuni dada yanaendeshwa kwa misingi fulani fulani hivi (>>>>>>>>>>)
 
binafsi huwa siamini katika second chance huyo mwanume wa inonekana dhahir shahiri sio muaminifu kwako cha kufanya kama unaweza punguza mapenzi yako kwake ila mpe last warnig,akiendelea mpige chini hata kama yakiwa nia maamuzi magumu kufanya kwako bora uwe na pengo kuliko jino bovu.
 

ulijuaje kuwa ummependana sana? Jaribu kuwa mwangalifu, huyo mtu hakufai hata kidogo. Wengine wapo na wametumwa kwaajili ya maambukizo tu, huwa wanakuja kama mtu anaekupenda. Kama unapenda kufa basi endelea nae. Ushauri wangu ni kuwa "achana nae".
 
ulijuaje kuwa ummependana sana? Jaribu kuwa mwangalifu, huyo mtu hakufai hata kidogo. Wengine wapo na wametumwa kwaajili ya maambukizo tu, huwa wanakuja kama mtu anaekupenda. Kama unapenda kufa basi endelea nae. Ushauri wangu ni kuwa "achana nae".

Bibi na bwana wakigombana nyumbani, wacha wenyewe mpaka waelewanee, lakini ukiwaingilia, wakipatana utakuja kujuta eeeh. Huu wimbo naona kama unakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…