ahsante kwa ushauri wako ndugu, lakini napenda nikukosowe kidogo kuhusu hapo uliposema kuwa watu huku nje tunatanuwa sana. Hilo sio kweli na ni mawazo ya wengi wa waliopo nyumbani. Ukweli hutokea baadhi ya siku kukawepo na mikusanyiko ya hapa na pale na sio kila mwisho wa week end, mara nyingi hukuntana kwa sababu kuna jambo iwe harusi, msiba n.k hivyo ndivyo ilivyo pande hizi niliko, sijui kwengine though
ucheshi ni tabia yangu, natabasamu kwa yeyote nikutane nae awe mwanamme au mwanamke. kwa nini nibadili tabia njema kwa kuwa tu baadhi ya watu hawaridhiki na walio nao?
unawajua tom boy girls?
Hapana, niambie ndio kina nani hao?
au unawajua Alpha females?....
Si uwadescribe tu, kuliko kuniongezea misamiati! Relationship councillor we!
you didn't know ??????
agrrrrrrrr, yaani mie na salama jabir sawa?
hapo ndio unapopachikwa title ya mtu wa maringo. Nikimnununia kila mtu nitaongea na nani huku?
Salama Jabir is extreme case lol
wewe na wafuatao ni sawa
Care to tell us more? Afu useme umejuaje pia,lol
alpha females ni kama Konnie..lol
females who are natural leaders to their females friend..
you are also one of them...
ngoja niendelee kutafakari
ngoja na Kaunga aje niwahukumu pamoja.
Ila The Boss as yuzho kakupozea, wewe na Salama ni mapacha! Yaani ni kopiraiti. Yaani nakuimajini na overall ya kata K na back pack nyuma GPS imeninginizwa na ka nyundo ukienda excavation sijui wapi, na kamsuba kwenye sox. LOL