Pole sana ndugu. Ila inaonesha tatizo lako kubwa ni pesa. Hilo ni tatizo sugu na common kwa wengi wetu,ndio maana wengi tumesoma hapa nyumbani,waliotoka wengi utakuta wamepata scholarship,otherwise ada ya vyuo vya nje+accommodation+kujikim+medical expense? Ni ngumu sana aisee. Endelea kuzichanga ila kama vipi apply chuo cha hapa home uanze maana time is running kama ulivyosema. Wanaoenda nje wengi utakuta wengi wao either wana hali nzuri kipesa au wamepata scholarship. Waliolazimisha ndio hao wanaohangaika sana mpaka huruma, na akina dada tena ndio kabisa tunaweza tukaanzisha mada mpya hapa. Good luck lakini!