Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,753
- 109,862
Pengine kule aliandika 42 ili kumzungua mleta hoja,huku ndiyo kasema ukweli wake.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Pengine...
Utofauti wa umri alioutaja unatuathiri hata namna ya comments tunazoweza kumpa...
Kibaiolojia mwanamke wa miaka 36 na 42 wapo tofauti kidogo...
Hivyo namna ya kumchukulia kikongwe wa miaka 55 nayo itabadilika...