Clara John
Member
- Dec 20, 2013
- 8
- 1
Habari zenu. mwenzenu ninabwana nampenda sana kiumri ana miaka 55 na yeye ananipenda kupita maelezo lakini kuna tatizo moja ambalo kidogo huwa linanirudisha nyuma pale kwenyekunanihiliu dakika moja tu keshamaliza namimi ananiacha nikiwa na hali mbaya hata nimfanye vipi spika haifanyi kazi je nifanyeje najitahidi sana kumpa supu ya pweza ngisi maziwa kwa tende alau tu na mie anifikishe safari yangu nifanyeje wajameni?