Naomba ushauri wenu wan jf

msinidanganye

Member
Nov 17, 2012
15
0
Jamni mm mwenzenu nina ngozi kavu sana yani unakuta na pauka san sehemu za mapajni ndo usiseme na kuwa na michubuko katikati ya mapaja ambayo hainifurahishi hata mm nikikutan na boyfrend wangu ananiambia eti ninafangasi ndomana nakuwa nimepauka ivyo naombeni ushauri je ni fangasi au nn na nitumie mafuta gani ya takayo ifanya ngozi yangu ipendeze isiwe ya kupauka ivyo , au kupauka ivyo ni fangasi kweli kam ninafangasi mbona siwashwi?
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,083
2,000
dada hiyo siyo fungas,bali upaki mafuta,uwe unapaka mafuta kwenye mapaja na miguuni kamwe hautoona hali hiyo
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,227
1,195
uzito wangu ni na kilo 77 urefu 5.5
Mkuu, uzito wako upo juu sana. Nakushauri upunguze uzito wako uendane na urefu na jinsia yako, pia fanya mpango wa ku-boost kinga yako ya mwili. Jisomee mtandao huu http://maajabuyamaji.net/

Utapata majawabu ya matatizo yako. Kwa sasa naomba niishie hapa nitakuandikia tena jumapili hii nitakapokuwa nyumbani, muda huu nakuandikia nipo katika gari nasafiri.
 
asnte kaka na shukuru kwa ushauri wako
 
Top Bottom