Nina mchumba yapata miaka minne sasa,mwaka huu ndio tulipanga tufunge ndoa.lakini alipokwenda kwao kutoa taarifa kwao wamemkatalia.mama yake amemwambia kwamba kila anapomuomba mungu wake anaona giza mbele hivyo haitaji mwanae anioe mie.na akasema anatupatia miaka mitatu hiyo ndoa itakuwa imeshavunjika.kutokana na msimamo alioonesha mchumba wangu kwa wazazi wake nimeamua tufunge ndoa lakini nikifikiria upande wa wazazi wake napata hofu.nifanyaje wapendwa?karibuni kwa maoni.
Afadhali umeliona hili mkuu... tunajaribiwa sana hama mwaka huuSiku hizi ndoa zinapigiwa "ramli"! shame!
olewa olewa olewa
eva/hawa was the luckiest woman; she had no mother-in-law."And all the people shall say, Amen."
Ndio sababu akamfukuzisha Adam kwenye pepo...Angekuwa ana mother in law labda angemshauri asifanye haraka ya kumpotezea Adam pepo.olewa olewa olewa
eva/hawa was the luckiest woman; she had no mother-in-law.And all the people shall say, Amen.
Mother Son RelationshipKanjunju watu weengi saana husema mapenzi ni kati ya wawili wengine ni wakuwapotezea.... Siamini hio kauli wala sikubaliani nayo... Huyo mamake katia ngumu alafu muoane kwa kulazimisha hata kama mwapendana... Mie noana it is not advisable kwa kweli. Ilitakiwa wewe ufunge safari kwenda kwa mamake na umueleze kwa unaga ubaga kabisa kua wampenda mwanae na kua huna nia nae mbaya, na umuambie ukweli kua pamoja na kusema mwnae yupo tayari kwenda kinyume na wafunge ndo hivo hivo - wewe haupo tayari wala comfortable for watambua uwepo wake kama mama yake na kwamba waomba saana baraka toka kwake aweze kubali aoana na mwanae.
Kwa upande mwingine huo uchumba ni wa mda mrefu mno. Haipendezi kama hamko tayari kuoana karibuni kuanza tambulisha ndugu wa karibu saana hasa wazazi... hakuna mwanadamu hana kasoro (hivo watakujua saana na sababu wanadamu hujisahau wataku judge kwa kasoro zako wakisahau hata nao wanazo); Hivo yawezekana kabisa kuna tabia labda mbaya ambazo unazo na zimejulikana... Ama tu yawezekana huna tabia mbaya lakini kwa mda ambao wamekufahamu huajaonesha ushirikiano kwa famiia ya huyo mchumba toka akutambulishe kwao.... Hivo mama mkwe kisha ona wee ni kimeo kwa mwanae...
mimi sijui kama ni unlucky au vp ila wewe ni mtu mzima na unajua case nyingi za mother in law unaweza chagua kuwaweka group gani.ila mimi wengi naona ni disaster kwa wake za watoto wao utadhani wao hawakuolewa kwa watuOh' Kid sis.... So having a mother in Law is Unlucky? Kumbuka ni mzaa chema.....