Pole! But hapo waweza fanya moja kati ya haya: 1.kama ulisaka kazi kwa muda mrefu hatimaye ukafanikiwa katika hilo shirika nawe unategemea hapo na huna mahala pengine pa kuongeza kipato,msapoti bosi ikiwa yeye ndo mtoaji wa mishahara ili maisha yaende but ukijua kwamba it is illegal. 2.kama shirika lazima huyo bosi zipo ngazi kumzidi,kuwa mzalendo, mchome(kama mbwai mbwai) kwan kwa kubaki kimya itaonekana nyie na bosi lenu moja na mwisho wa siku mtahusika wote kuja kutoa hesabu za zilizoliwa na bosi peke yake.kwa kufanya hivyo utakuwa umetenda haki na kutetea maslahi ya shirika hata Mungu anakuona na hatakuacha upoteze kazi kwa kutenda haki na hata hapo pakichafuka utapata pengine.