NAOMBA USHAURI WAKUU

NAOMBA USHAURI WAKUU

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,370
Reaction score
3,175
Hello dear ladies/ gentlemen

Wadau niende kwenye point ni hivi,

Mpenzi wangu Leo ameniomba nimkopeshe pesa kwa ajili ya mambo yake binafsi nikamwambia sawa nitakupatia kiasi unachohitaji. Tatizo likaja anasema nimwambie kabisa ni lini anirudishie, nikamwambia hapana ucjal pindi utakapoipata utanirudushia usiwe na shaka, akasema haiwezekani niambie tu nijue ili nijipange kutafuta mapema ili nisibweteke nirudishe kwa mda. Bado msimamo wangu ukawa ni ucjal mda na siku yeyote ukipata utanipa

Tumebishana kwa hilo tu hali iliyofikia kunieleza nisimpe tena hela atatafuta kwingine eti tu sijasema ni lini anirudishie, binafsi nimemueleza sawa tafuta kwingine

Sasa wadau kwa maelezo hayo, hivi kweli kulikua na sababu ya kupishana na kutokuelewana kwa sababu hiyo kweli? Mimi nimeshangaa sasa na sijui kama kumpa uhuru ni vibaya?

Kwa maoni yenu ni sahihi nilichofanya? Ama sipo sahihi
 
Ungemwambia baada ya wiki moja nirudishie hela yangu.

Bhasi

"Enough of No Love"
 
Wapenzi hawakopeshani wanapeana. Mkopo kwake benki.😁
 
Hello dear ladies/ gentlemen
Wadau niende kwenye point ni hivi,
Mpenzi wangu Leo ameniomba nimkopeshe pesa kwa ajili ya mambo yake binafsi nikamwambia sawa nitakupatia kiasi unachohitaji. Tatizo likaja anasema nimwambie kabisa ni lini anirudishie, nikamwambia hapana ucjal pindi utakapoipata utanirudushia usiwe na shaka, akasema haiwezekani niambie tu nijue ili nijipange kutafuta mapema ili nisibweteke nirudishe kwa mda. Bado msimamo wangu ukawa ni ucjal mda na siku yeyote ukipata utanipa
Tumebishana kwa hilo tu hali iliyofikia kunieleza nisimpe tena hela atatafuta kwingine eti tu sijasema ni lini anirudishie, binafsi nimemueleza sawa tafuta kwingine
Sasa wadau kwa maelezo hayo, hivi kweli kulikua na sababu ya kupishana na kutokuelewana kwa sababu hiyo kweli? Mimi nimeshangaa sasa na sijui kama kumpa uhuru ni vibaya?
Kwa maoni yenu ni sahihi nilichofanya? Ama sipo sahihi
Mkuu kama ulikuwa hutaki akurudishie si ungemwambia tu akurudishie baada ya miaka 50 ijayo hapo angeweza kujiongeza
 
Kama kweli ni mpenzi wako ulipaswa kumpa tu na sio kumdai! Huwa wanazirudisha the other way round
 
Hello dear ladies/ gentlemen

Wadau niende kwenye point ni hivi,

Mpenzi wangu Leo ameniomba nimkopeshe pesa kwa ajili ya mambo yake binafsi nikamwambia sawa nitakupatia kiasi unachohitaji. Tatizo likaja anasema nimwambie kabisa ni lini anirudishie, nikamwambia hapana ucjal pindi utakapoipata utanirudushia usiwe na shaka, akasema haiwezekani niambie tu nijue ili nijipange kutafuta mapema ili nisibweteke nirudishe kwa mda. Bado msimamo wangu ukawa ni ucjal mda na siku yeyote ukipata utanipa

Tumebishana kwa hilo tu hali iliyofikia kunieleza nisimpe tena hela atatafuta kwingine eti tu sijasema ni lini anirudishie, binafsi nimemueleza sawa tafuta kwingine

Sasa wadau kwa maelezo hayo, hivi kweli kulikua na sababu ya kupishana na kutokuelewana kwa sababu hiyo kweli? Mimi nimeshangaa sasa na sijui kama kumpa uhuru ni vibaya?

Kwa maoni yenu ni sahihi nilichofanya? Ama sipo sahihi
mhgh Kuna Ukweli katika hili kweche kweche
 
Back
Top Bottom