Naomba Ushauri Wako

Naomba Ushauri Wako

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Habari zenu wakuu.

Niliomba kazi serikalini kupitia Tume ya ajira na leo wametoa majina ya kuita kazini nimepata. Tatzo wanasema barua ya kuripoti kwa mwajiri imetumwa kwenye address ya posta.

Address niliyotumia niliikosea na wala sijui ya nani.

Je kusudi nipate hiyo barua nifanyeje?

Ahsanteni.
 
Waungwana za jioni.
niliomba kazi serikalini kupitia Tume ya ajira na leo wametoa majina ya kuita kazini nimepata.Tatzo wanasema barua ya kuripoti kwa mwajiri imetumwa kwenye address ya posta.
Address niliyotumia niliikosea na wala sijui ya nani.je kusudi nipate hyo barua nifanyeje?Ahsanteni.

usihofu mkuu nenda tume ya ajira pale utumishi utapewa waelezee scenario ilivyokuwa maana wanakuwa na duplicate hata hivyo hizo barua wengine zinachelewa sana kuwafikia hasa wa mikoani mpk tarehe ya kuripoti kazini inafika wengi wanakuwa hawajazipata so wanaenda wenyewe tume kuzifata wanapewa usihofu kwa hilo mkuu
 
Waungwana za jioni.
niliomba kazi serikalini kupitia Tume ya ajira na leo wametoa majina ya kuita kazini nimepata.Tatzo wanasema barua ya kuripoti kwa mwajiri imetumwa kwenye address ya posta.
Address niliyotumia niliikosea na wala sijui ya nani.je kusudi nipate hyo barua nifanyeje?Ahsanteni.

Usitishike nenda tume kawaambie sijapata barua ila nimeona jina langu gazetini, period.
 
ahsanteni kwa wote mlionipa ushauri wa kwenda tume na kuwaelezea ishu nzima.Pia ahsanteni mnaosema siko serious bila kujua ishu ikoje.
Ila ninalotaka kulisisitiza amabalo hata mie nilikuwa naamini hii tume ya ajira haina upendeleo hata kdgo.Mie mwenyewe sina hata ndgu yangu balozi wa mtaa ila niliomba na nkafanyiwa usaili nkafaulu na leo nimeitwa kazini.
Cha msingi ni kujaribu na kujiandaa vzri na usaili.
Nilijaribu kwa hofu ila sasa naenda kuwa mtumishi serikalini katika Shirila la Elimu Kibaha.
 
Back
Top Bottom