Huyo rafiki yako anaonesha kabisa kuwa ana mtu na anaogopa kuanzisha uhusiano na wewe kwa kuhofia huyo aliyenaye anaweza kuja kujua ingawa inaonekana wazi kabisa kuwa anakupenda kwa kiasi fulani lakini kila akitaka kufanya uamuzi wa kuwa na wewe inashindikana kwani bado kuna vitu vinamfanya asiweze kuwa nawe.Jaribu siku moja kumwambia kuwa umempata mwanamke na unataka umfanye awe mwenzi wako,baada ya hapo mwangalie atasema nini.
Du!Mwenzako enzi zangu nikipata nafasi ya denda ujue ndio namaliza mchezo siku hiyo,ila kila mtu na utaalamu wake maana denda bila mpapaso wa kuleta haja bado huwa halinogi.
asante mkuu,ntajitahd kuvumilia.
usimvumilie kiongozi....muite kwako UM"BAKILIE MBALI
mmh!!!mambo kama haya ndio yanayonishangazaga kwenye mahusiano...mtu anakwambia "kuna wanne kama wewe wanafanya kama unayofanya wewe, kwahiyo nahitaji kuchagua" na wewe bado tu umo!?
unategemea nn katika hilo, hata kama atakuchagua wewe, unadhani aliowaacha hawana kigezo hata kimoja kimoja cha kumvutia??
watu wengine mnatafutaga maumivu ya moyo ya kujitakia...
Weye zako unataka kula ukimbie mwenzio anapenda kweli ivo!!
haya kama anataka kupenda....ila apende panapo pendeka. huyo demu mbona dawa yake moja tuu. kumgegeda na kumuomba tigo na kumbwaga
huo ndo uamuz ntakaouchukua so soon. . . . . .for good.
very nice...u do that boy!!! hawa wanawake sio wakukutesa wewe bwana...
ndugu mwana jf,matumaini yangu mko salama kabsa,naomba kusema yanayonisibu mwenzenu. . .nilitokea kumpenda sana classmate wangu chuoni,nikafanikiwa kumfanya awe rafiki yangu wa karibu sana,siku moja alikuja kucheki movie room tukawa peke yetu,kwa bahati mbaya au nzuri nilipata kumkiss,hapo akahoji kama nilikua na hisia naye ilibidi nimueleze ukweli kwamba nampenda sana,hakusema chochote akaondoka,lakini bado akaendelea kuwa karibu nami,kila nikihtaji mtu wa kuongea nae anakuwepo,hadi watu wakaanza kuhoji ukaribu wetu,siku moja aliniomba twende tukatembee jioni maeneo ya karibu na chuo,tulienda maeneo tukipiga stori za hapa na pale,alipenda sana kunihug,nikafanikiwa kula mate yake kwa mara nyingne,lakini nikimkumbushia kuhusu ombi langu akasema ana mtu,nikaamua kutulia kwanza,lakin bado akawa karibu nami sana,siku ya siku baada ya kuchat kwa muda mrefu akaniambia kwmba hana mtu na alinidanganya kuhusu hlo,pia akasema bdo hayupo tayari kuwa ktk mahusiano kw sasa so ikibidi nisubiri,kama kawaida yangu sipend kumlazimisha nikamwambia poa,tukiwa chuon napenda kwenda naye lunch,kumpa care ambyo kila mwanamke angewish kupewa,siku moja nikamuita geto aje tuongee,hakusita alikuja tena ndani ya muda,nilimuwekea movie ambyo aliwish kuiona siku moja ila alikua hajawahi,so alifurah sana,tulishnda wote tukala na kunywa pamoja,lakin kumueleza kuhusu mm na yeye,akaniambia yupo ktk wakati mgumu sana coz kuna wanaume km wanne wanahtaji kuwa naye na wanafanya kila nifanyacho mie,so anahtaji kufanya maamuzi sahih,so ikibd tuwe marafiki tu,kama kawaida nikambembeleza ila ndo vile,nikaona isiwe shda nikamwambia mengi ila pia ntasubiri,katika kumuhug kujaribu kumla mate,nikaona akarespond tena kashiriki vizuri,halaf baada ya hapo akaonyesha kujutia,so bdo yupo ktk msimamo wake. . . .ndugu mpendwa mwana jf,naomba ushauri wako,nimfanyie nini huyu asinitese hvi coz siwez kuwa rafiki yake wa kawaida,na kila saa akilini mwangu yupo yeye tu,pia sitaki kumforce kunichagua mimi.
Tafuta anayekupenda.
kaka, ngoja nikwambie kwenye mapenzi kuna kamchezo kanaitwa hide en seek- "kujificha na kuchungulia"yani uyo mdada kwa ufupi ana kuzingua na anajifanya ameshika remore control alafu wewe kakufanya tv anakubadilishia channel anapojiskia, ukiendelea nae kwa stail hiyo utakuja umizwa moyo zaidi hasa kwa kua kila siku zinavyoenda utazidi kumpenda na kujifunza kuvumilia hayo maumivu. kwa ushauri wangu unaweza kufanya hivi:1. Mimi nahisi yuko na mwanaume mwingine ambae kuna vitu anakosa kule so anahisi anaweza kuvipata kwako so anatamani agawe penzi kwenu nyote asa kwa uzoefu mwisho itakua maumivu vyema na wewe utafute dem uwe bize nae alafu utaona jinsi uyo dem atakavyo react its likely atakung'ang'ania maana ashazoea uko mwepesi sasa ataona kumbe anaweza kukukosa. 2. Achana nae kabisa maana ata akikubalia huyo hafai kuwa mke bora maana hana msimamo, maisha ya ndoa ni kama ligi ya ujerumani (bundes liga) ina mikiki mikiki so inaitaji couples sahihi, ndoa siyo mchezo inataka watu wenye msimamo uyo mdada atakuja pendwa na bosi wake wakati ushamuoa alafua atakucheshea sinema kama hiyo utaumia zaidi , achana nae . Mbona wazuri tena decent gals wapo kibao jipange mkuu.
Duh!e bhana hyo manzi atakuzngua coz kma na hao masela wngne nao wnamtreat well then at the end of the day hajui yupi atakayemchagua that means anawz akaangkia kwa mwngne na ww ukawa umeptza mda wko bure so kma vp akpe jbu lnaloelwka bhana!