nitatofautiana na wachangiaji wengine hapo juu....
as long as unao mtaji, si vibaya ukaamua kufanya biashara huku unasoma.....
nakushauri yafuatayo;
.fanya utafiti changamoto na faida za biashara utakayofungua
.tatufa eneo/frem kulingana na mtaji wako
.fungua biashara kipindi cha likizo ili mwanzo uwe unakaa mwenyewe, baadae ukija kumweka mtu walau utakuwa unajua ABCD za biashara yako, hata kuongopea sana
.kipindi hiki biashara ni ngumu sana, usimwamini mtu kizembe, ndugu nao pasua kicha, usimamizi unatakiwa uwe mkubwa sana.
akili kumkichwa, all the best