Huu sasa ni utani.Hata C/O haina deal She/ he better go for Nursing
Duuuh. Huo ufamasia atapata hiyo ajira?C/o hainatofauti na ualimu wa msingi..atafute hata ufamasia..c.o kumejaa ajira hakuna wastage of time.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana two ya 18.. sikumbuki masomo yote alipata ngapi ila ya sayansi nakumbuka.. Bios C, chem C, phys D na maths D
NdioWanaruhusu kuomba na ukapata chuo cha serikali tofauti na hao waliopangiwa direct?
Asome mojawapo wa hizi koziNina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl.
Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza kupata chuo cha serikali akasome C/O maana vyuo vya private ada yake ghali sana. Sitamudu.
Kwa yeyote mwenye ushauri naomba.