Naomba ushauri wa matumizi ya cmu!

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
563
Reaction score
471
Habari za majukumu wakuu?

Nimepata shida sn ktk matumizi ya cmu zenye uwezo wa internet kuhusiana na utunzaji wa chaji, naomba ushauri wa aina ya cmu ambayo ina uwezo mkubwa wa kutunza chaji ukitumia internet muda wote!

Ntashukuru sn!
 
mie yangu ili niweze kutumia internet lazima niwe na chaji pembeni maana kila saa Battery Low,ila watakuja na majibu. Nalog off
 
Jaribu ku-disable 3G na badala yake itumie EDGE, sijajua umetumia simu gani ila kama simu zenye Android OS mara zote ipo active kwenye internet hivyo kama 3G ipo active ni dhahiri standbye time itapungua.
 
nokia e71 ndo mpaka now nafahamu inakaa sana na chaji ukiwa network ya edge na gprs inakaa hadi siku 3 ukiwa na 3g one day inakaa standby masaa 480 ina betry kubwa kuliko simu ya tochi. Bb ukitoa social networking si simu ya kununua nokia will remain the best
 
Natumia HTC MAGIC!

Nashukuru kwa ushauri
Jaribu ku-disable 3G na badala yake itumie EDGE, sijajua umetumia simu gani ila kama simu zenye Android OS mara zote ipo active kwenye internet hivyo kama 3G ipo active ni dhahiri standbye time itapungua.
 
NUNUA NOKIA 5130 XM. TaMU SANA KWA INTERNET.
 
Ki2 e72 kaka,nacheza na internet mda wote na charge inakaa siku 3.
 
jitahidi kuminimise display brightness iwe low contrast. pia hakikisha unaclose open applications ambazo hutumii
 
mie yangu ili niweze kutumia internet lazima niwe na chaji pembeni maana kila saa Battery Low,ila watakuja na majibu. Nalog off
Tatizo una log off mara nyingi ndo maana inakula betri
 
tupa, nunuwa ka I pad 2, umeishiwa charge mapema ni masaa manane ukiwa "continuously on line".
 
Yote tisa, kumi ni screen na hapa no both size and resolution. Kama kioo ni kikubwa sana na ina resolution ya juu, basi uta-enjoy clear & sharp images lakini betri itayoyoma kama gari la rally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…