valentino nakua
Member
- Nov 18, 2018
- 26
- 5
Ahsante nitakutafutaValentino
Kama maziwa ya mama hayatoshi sio salama kuendelea kumuweka katika maziwa ya mama tu. Inaweza kumletea mtoto shida kiafya. miezi mitano sio mbaya, mnaweza kumuweka katika mpangilio maalumu wa chakula utakao hakikisha anapata virutubisho vingine vya muhimu huku akiendelea taratibu na maziwa ya mama. Kikubwa epuka maziwa ya ng'ombe, ni mabaya kwa mtoto wa chini ya mwaka mmoja.
Nitafute kupitia namba 0765886191 kwa ushauri zaidi. karibu!
Ahsante nimekusoma mkuuChukua ndizi 1 bukoba isage na maziwa glass 1 mpe , Ndizi ya kuiva 1 saga na Maziwa glass 1, Tambi chemsha saga na maziwa tia na Apple nusu, Maboga lishe au Gimbi una chemsha una sagia na maziwa fresh una yachemsha wewe mzazi siyo kumuachia dada!
Kuna maziwa special ya formula kwa watoto ukienda supermarket au maduka makubwa ya vyakula utayakuta Yana umri kuanzia mwezi mmoja mpk miezi kumi na mbili.
Huku uswazi mtoto tunamlisha mapema Sana wengne wanaanzia hata miezi miwili, mtoto anaanzia uji wa kuchujaa, kwa muda flani akifika miezi mitano anapewa kila kitu ambacho binadamu anakula .japo kidaktar hawashauri ila hivyo hivyo na watoto wanakuwa na afya.
Kingine mama aendelee kunywa uji wa pilipili manga mpk mtoto afunge miezi sita
Unamfanya maziwa yajae kwa haraka mtoto akinyonya anashiba.ahsante kwa ushauri, pili pili manga inasaidia nn kwa mama anayenyonyesha? pole usinichoke kwa maswali nahitaji kijua. ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umeanza vizuri ila hiyo mambo ya kufuatwa private ndio umenchosha. Typical Tanzanians. Tutafanyaje sasa.Valentino