Naomba Ushauri wa kuuza Biashara ya vitenge

GBorLog Mwakyembe

New Member
Jul 29, 2020
4
1
Ndugu zangu habari ya subuhi.

Naomba ushauri nataka kuanza biashara ya vitenge mkoa wa Mbeya (Tukuyu) kwa mtaji wa Tshs. million moja na nusu.

Kwa hiyo naombeni ushauri wapi naweza kujumua kwa bei nafuu na inaweza kunifikia kwa urahisi,

Asanteni
 
Back
Top Bottom