Naomba ushauri wa kufanya mtihani kama private candidate

Naomba ushauri wa kufanya mtihani kama private candidate

Kuriseat unatoka tu....ila mitihani ya PC inakuwaga migumu na hata usahihishaji wake ktk kugawa point wanabana......unatoka ikiwa hupo committed na shule kushinda ulivyokuwa school candidate.......hakikisha hta kila wiki unapata kituo kwa ajili ya mitihani ya kujipima na una copy za syllabus znazo kuguide ili uctoke nje somo.......good journey na safari hyo ya Pc

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante!! Mkuu

Asante me nisha jikomit tayari
Sababu mtihani ni huo huo hata ukirudia tena sio kama Olevel Pc waga wanamtihani wao.
Inshallah Tutatoka wahanga wa D moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First uwe tayar na ujue unachoenda kufanya (morali)
Usome kama hamna kusoma tena
Review uipige chini yote na kuirudia
Paper kama zote
Yaan namaanisha usome kwa hasira (targeted)
Walah will.

ok...
 
Tafuta sylubuss za hayo masomo unayotegemea ku-reseat uwenazo.

Jiunge shule yenye mchepuo unaoutaka,usiwajulishe kama una reseat,itakufany uchukulie n jambo la kawaida.

Kuna jamaa yangu alifanya Pc akachomoka na Div one HGL now kamaliza bachelor Udsm.
 
Back
Top Bottom