Kila mtu ana namna yake ya kutoboa ktk maisha kuhusu hilo hamna shortcut cha msingi fanya unachokipenda coz hata mambo yakienda ndivyo sivyo hautakosa namna ya kuwa flexible kuweza kutoboa ktk kozi hiyo!
Ofcoz ajira hasa ni changamoto siku hizi kwa upande wote Science na kwa Arts,
So trust yourself hautakosa namna ya kutoboa hilo ndo la msingi hata Mass communication kuna watu wametoboa ktk hilo pia na wengine kujiajir labda kuwa MC wakubwa au kufungua kampuni za shughuli za sherehe hususan kwenye kuchukuwa matukio ya sherehe.
Sometimes inategemea unaangalia kitu kwa mtazamo gan Glass half empty or Glass half full ikiwa na maji,
Either fanya unachokipenda ndo utakuwa na possibility kubwa ya kutoboa,
Natumain kuna wajuvi zaid ya Arts labda wanaweza kuwa na ushaur bora zaid ya wangu,
However keep in mind this*
" Where there is a Will, There is a Way"