Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,551
- 9,710
Bachelor in chemistry, in physics, in biology achana nazo haina soko kabisa ani...otherwise kama unataka ukimaliza uje kufundisha twisheni huku mtaani... Huko kwingine unaweza ukaenda...ukiona hamna kozi ya maana kuliko kwenda Huko degree ni heri utumia cheti cha olevel ukasome Diploma kozi za Engineering pale DIT hutokaa ujutie
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi Chemical engineeringBachelor in chemistry, in physics, in biology achana nazo haina soko kabisa ani...otherwise kama unataka ukimaliza uje kufundisha twisheni huku mtaani... Huko kwingine unaweza ukaenda...ukiona hamna kozi ya maana kuliko kwenda Huko degree ni heri utumia cheti cha olevel ukasome Diploma kozi za Engineering pale DIT hutokaa ujutie
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuelewahawa jamaa kila siku tunawaambia lakini huwa hawasikii. Wanapenda sifa za kusoma ma kozi hayaeleweki af wanakuja kulialia hapa.
yani hapo umemuambia asome diploma sijui kama anakuelewa yeye anawaza degree tuu. hizi elimu huwa zinawafanya watu wawe vipofu
Chemical engineering, oil and gas, na Mining engineering nazo usiguse kabisa,...vipi Chemical engineering
Nilichogundua wanadhani diploma wanasoma waliofeli au wanafata mkumbo tu waonekane wapo chuo, maamuzi madogo tu ya siku moja yanaweza yakagharimu maisha yote,hawa jamaa kila siku tunawaambia lakini huwa hawasikii. Wanapenda sifa za kusoma ma kozi hayaeleweki af wanakuja kulialia hapa.
yani hapo umemuambia asome diploma sijui kama anakuelewa yeye anawaza degree tuu. hizi elimu huwa zinawafanya watu wawe vipofu
Mzigooo huu unakufaaa saanaView attachment CAREER AND COURSES TIPS.pdfHabarini wanajukwaa
Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo
Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe wakubwa naomba mchango wenu wa hizi kozi ni nzuri au nipige chini. Na naomba ushauri wa kozi nyingine nzuri.
nimesoma PCB nina two ya 12 nina D flat na bam na GS ni E zote msaada wenu tafadhali.
PamojaaJf nitakupenda daima humu tunapata vingi a see!!
Omba MD.Habarini wanajukwaa
Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo
Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe wakubwa naomba mchango wenu wa hizi kozi ni nzuri au nipige chini. Na naomba ushauri wa kozi nyingine nzuri.
nimesoma PCB nina two ya 12 nina D flat na bam na GS ni E zote msaada wenu tafadhali.
Omba MD.
Hata hiyo electrical kama hana passion nayo,atasoma na atafaulu lakini apps yake mtaani zeroNilichogundua wanadhani diploma wanasoma waliofeli au wanafata mkumbo tu waonekane wapo chuo, maamuzi madogo tu ya siku moja yanaweza yakagharimu maisha yote,
Hapo kama akisoma Electrical engineering miaka 3 ataamua mwenyewe ajiajiri au akaendelea na Degree tena miaka inapungua...
Kazi kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima PCB akasome kozi za afya,Chemical engineering, oil and gas, na Mining engineering nazo usiguse kabisa,...
nzuri za kusoma ni Electrical engineering, science and laboratory technology ( hii juzi niliona Muhimbili hospital wametoa nafasi za kazi), Food science and technology.. Biomedical engineering, mechanical engineering na civil engineering na biotechnology.
Ngoja nkushauri kitu ukinisikiliza hutokaa ujutie, PCB ukishakosa kozi za Afya kwenda degree ni heri ughairishe ukaombe diploma,
kuna kaka yangu alikosa nafasi ya kwenda kusoma MD degree.. Akaambiwa atulie aombe mwakani au atafute kozi kwa ngazi ya diploma asome alikuwa na mchecheto wa Boom sijui akang'ang'ania kwenda kusoma Bachelor science in Physics mpaka leo hiii hana ajira kwa icho alichosomea, ni mwalimu tu wa physics wa twisheni hizi na kazi nyingine za hapa na pale.
Usifanye makosa, kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajaribu bahati vyuo vya private maana wamelegeza masharti.Acha kumpotosha,
Hatopata MD ,hivyo usimdanganye,
Mwambie akaskme anachokipenda
Kwani wewe ndio unadahili. Kama ana bahati anaweza kupata. Kwamba io flat D wameweka tu.Acha kumpotosha ,
Kwa PCB sifa anazo lakini,hatopata MD hata hiyo chemical engineering ndio asahau kabisa maana hana Advanced math
Sijampotosha mzee... Nimeongea kwa kile ninachokifahamuMwanakulatafuta acha kumpotosha kijana mwambie akasome anachokipenda,
Hata kama ataamua kusomea ufundi magari kama anapenda lazima atatoboa tu
KakaKwani wewe ndio unadahili. Kama ana bahati anaweza kupata. Kwamba io flat D wameweka tu.
Kuhusu Advance math. Mara zingine huwa wanaangalia basic math ya O level au bam.