Naomba Ushauri wa Kitaalamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Ushauri wa Kitaalamu

Discussion in 'JF Doctor' started by Lwikunulo, Jan 27, 2010.

 1. L

  Lwikunulo Senior Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ...wakuu naamini hapa n'tapata ushauri wa kitaalamu (ushauri wa kitabibu) kuhusu hali inayomkabili mke wa mdogo wangu. Amevimba mishipa ya damu kwenye mapaja...haimuumi, ila imevimba excessively. Shemeji yangu ni mja mzito.

  Amekwisha onana na Madaktari wawili,
  Daktari wa kwanza: alimwambia ni hali inayoweza kutokea wakati wowote mishipa kuvimba vile (hakuhusianisha na uja uzito). Ali-prescribe dawa fulani ya kupaka na kusema muda si mrefu itaisha.

  Daktari wa pili: Alisema inatokana na kuwa mja mzito hivyo damu inasukumwa kutoka eneo la juu la mwili kwenda chini na hivyo kufanya mishipa ivimbe. Alisema as long as mishipa hiyo haijafika kwenye njia ya uzazi ambapo ingemwathiri mtoto wakati wa kujifungua, hakuna tatizo. Alisema mishipa hiyo itaisha/itapungua baada ya kujifungua.

  -Je kuvimba huku kwa mishipa ya damu kwenye mapaja kunatokana na nini?
  -mishipa hii imevimba miezi michache baada ya kupata uja uzito,je kuna athari zake kwa mama mjamzito?
  -Nini tiba yale?:confused:
   
 2. L

  Lwikunulo Senior Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  ....wataalamu (Doctors, Nurses, Paramedics, etc) mpooo?
   
Loading...