Crimea Bridge
Member
- Oct 8, 2022
- 51
- 152
Pole Mkuu
Itakubidi ulipe deni lao lakini ikitokea umeshindwa kulipa kwa wakati utafungwa then ukitoka itakupasa ulipe deni
Pole Mkuu
Itakubidi ulipe deni lao lakini ikitokea umeshindwa kulipa kwa wakati utafungwa then ukitoka itakupasa ulipe deni
Ukifungwa, gharama zote za kule jela atagharamia yeye aliyekufunga kumbuka kule utakula tofaut na wafungwa wengine utakunywa tofaut na wafungwa wengine,Pole Mkuu
Itakubidi ulipe deni lao lakini ikitokea umeshindwa kulipa kwa wakati utafungwa then ukitoka itakupasa ulipe deni
Ukifungwa, gharama zote za kule jela atagharamia yeye aliyekufunga kumbuka kule utakula tofaut na wafungwa wengine utakunywa tofaut na wafungwa wengine,
Ila hizo gharama za kukuhudumia wewe zinaenda kuongezeka kwenye lile deni unalodaiwa..na kama atashindwa kulipa gharama za kukuhudumia ukiwa gerezani, alishindwa kupeleka hiyo pesa hata kwa siku 1, unaachiwa Toka gerezani.
Mimi sio mwanasheria, ila nilifatilia ITV kipind cha mahakama, ndo walikuwa wanaelezea case za madai zinavyoenda.
Huyu si wakupewa pole alijua anafanya utapeli mfano amesema aliweka mali ya familia kama dhamana. Hivi alikuwa hajui kama ile mali ya familia haiwezi kuwekwa dhamana?.Pole Mkuu
Itakubidi ulipe deni lao lakini ikitokea umeshindwa kulipa kwa wakati utafungwa then ukitoka itakupasa ulipe deni
Mmmh inawezekana ujasikiliza au ujasoma vizuri maana uwezi kuwa na interest kama muda aupo maana interest inatokana na muda husika Mkuu iyo rate ya 9 ukija kuchunguza utakuta kunamuda wake waliuwekaHuwa kuna muda maalumu wa kulipa? Kwenye hukumu haijaelezwa muda maalum.. wao wameweka interest tu ya 9% kwa mwaka mpaka deni likiisha