Naomba ushauri wa kisaikolojia

Naomba ushauri wa kisaikolojia

Joined
Oct 5, 2019
Posts
36
Reaction score
33
Wadau wa psychology, ninaomba ushauri wenu wa ndoa.

Mume au mke anapoachana na mwenza wake wa ndoa anatakiwa kiafya ya ubongo na mwili achukue muda gani wa mapumziko kabla ya kuingia mahusiano mapya ya ndoa?

Naomba msaada wenu.
 
KICHEKOMASIHARA,

Inategemea na sababu ya kuachana.
Iwapo kuna mchepuko natarajia wakiachana tu; mchepuko unageuka njia kuu hapo hapo.
 
Ili usaidiwe weka sababu ya wewe kuachana huyo mtu ili tuangalie kama unahtaji
guidance or counseling.
 
KICHEKOMASIHARA

Pole sana mkuu, yule mke uliyeleta bandiko mwanzoni mwezi huu ushaachana naye?

Vumilia kwa muda, mambo ya mahusiano siyo ya kufanya maamuzi haraka.
 
Usharekebisha mapungufu yaliyojitokeza ambayo yalisababisha ukaachana na mwenzi wako?

Haina maana umeachana na mtu leo kutokana na mapungufu yako kesho upo na mahusiano mengine na bado unarudia tabia zilezile.

Pia mkuu, ukiachana na mtu unajipa muda kuona kama kweli maamuzi uliyofanya yalikua sahihi au ni mihemuko tu.

Mfano: Wewe umeingia kwenye mahusiano mapya baada ya kuachana, lakini mwenzi wako akatulia na baadaye akaingia kwenye mahusiano yake, wewe ukajikuta unamuonea wivu bado (bado unampenda), hii itakuathiri kisaikolojia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom