Naomba ushauri wa kilimo

Col FEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
327
Reaction score
460
Ndugu Wanajamvi !

Asalaam Aleykum / Bwana Asifiwe / Tumsifu Yesu Kristo.

Mimi ni Mjasiriamali mdogo na nimebahatika kupata eneo la heka 10 lenye udongo mzuri wenye rutuba. Yaani ardhi ni Bikira kabisa haijawahi kulimwa. Lengo langu ni kuendesha kilimo ambacho kitaniingizia faida ya Mil 2.5 kwa kila heka.

Nimeandaa mazingira mazuri ya umwagiliaji nina maji ya kutosha. Hivyo Ndugu zangu naaomba ushauri kutoka kwenu kwa yeyote mwenye uelewa nataka kujuwa ni mazaao gani ambayo naweza panda na kufanikisha Lengo langu. Eneo husika lipo ukanda wa pwani.

Natanguliza Shukrani za dhati.
 
Wewe ulikuwa unataka kulima mazao gani
Maana changamoto kubwa katkika Kilimo ni soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…