1 1Yankee New Member Joined Jun 19, 2013 Posts 2 Reaction score 3 Jul 20, 2024 #1 Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza.
Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,614 Reaction score 171,574 Jul 21, 2024 #2 We mwenyewe una ujuzi wa kazi za saloon??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,803 Reaction score 196,571 Jul 21, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Jul 21, 2024 #4 1Yankee said: Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza. Click to expand... Kwanza tafuta wenye kuijuwa hiyo kazi watakaofanya kazi kwenye hiyo saluni, kila mmoja atakwambia ni vifaa gani anavyohitaji ili aifanye kazi yake kwa ubora.
1Yankee said: Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza. Click to expand... Kwanza tafuta wenye kuijuwa hiyo kazi watakaofanya kazi kwenye hiyo saluni, kila mmoja atakwambia ni vifaa gani anavyohitaji ili aifanye kazi yake kwa ubora.