Naomba ushauri - Toyota Premio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri - Toyota Premio

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Guest321, Nov 18, 2011.

 1. G

  Guest321 Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Wana JF, tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye na Toyota Corona Premio (1.8L engine). Ningependa kujua upatikanaji wa spea zake kwa bongo, utumiaji wa mafuta, uimara wake barabarani, n.k.

  Nawashukuru.
   
Loading...