Naomba ushauri: Toyota CAMI vs Toyota Vitz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri: Toyota CAMI vs Toyota Vitz

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Donyongijape, Nov 28, 2011.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Habari zenu wadau. Nahitaji kununua gari, na Katika Uchunguzi wangu nimeweza kushortlist gari tatu ambazo ni Toyota CAMI, Vitz na Suzuki Swift sababu kuu ya kushortlist ni kwamba zote zinalingana kiu-uwezo kwa CC zake(1300) na hivyo nitaweza kuzimudu kwa uendeshaji wake(Mafuta). Katika Hizo, kuna baadhi ya watu walinishauri niachane na gari za suzuki na kusema ni heri niwe na toyota kwani upatikanaji wa spea ni mkubwa.

  Sasa Wadau naomba kwa wenye Uelewa Mzuri na Haya magari juu ya uimara wa magari husika, upatikanaji wa spea zake, uendeshaji na bei zake. Ikiwezekana naomba pia directives za showrooms ambazo ziko cheaper in town.

  Natanguliza Shukurani
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  kaka, sorry sijui dada!unge pm mzee wa rula angekusaidia!!ni mjuzi wa hayo mambo,mm nilimconsult alinisaidia na sasa nakula kuku kwa mlija!!!
   
 3. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Shida hii tunayo wengi, kuna thread ambayo Ramthods alichangia kama ifuatavyo hapo chini....Na mimi niliithibitisha kuwa ni kweli TOYOTA NI CHAGUO BORA kwani nilienda Ilala mtaa wa Lindi kutafuta spare ambayo ni used kwa Nissan, nilihangaika sana mwisho nikapata ambayo ni mpya, lakini hizo za Toyota ukimaliza ulizia tu jamaa anakupa bei hapo hapo,


  1. [​IMG] Ramthods
   26th December 2010 10:17
   [​IMG]

   [h=2][​IMG] Re: Vits, March, Duet[/h]
   Karibu sana mkuu!

   Embu cheki hii thread hapa, itakusaidia:

   https://www.jamiiforums.com/matangazo...uki-swift.html

   Tatizo la Nissan March na Vitz ni spea. Ni gari nzuri lakini spea zake zipo juu. Unaponunua gari, kama ungependa kupata unafuu wa matengenezo, tafuta gari ambayo vifaa vyake vinaingiliana na magari mengine mengi, au hizo gari zipo nyingi hapa mjini. Vinginevyo, spea zinakua ngumu kupata na bei inakua juu.

   Kwa mfano, Fan ya Vitz ni Tsh 250,000 na ya Corolla unaipata kwa Tsh 35,000. Hope unaona mwenyewe gharama ya matengenezo inavyopanda ghafla.

   Tatizo la Toyota Duet ni piston 3. Gari za piston tatu zinasumbua. Na gari chache sana za Toyota zina 3 pistons engine. Hii inamaanisha spea ni chache, na ukiipata bei ipo hewani.

   Ila uchaguzi wa gari unategemea na kipato pia, na maisha ya mtu binafsi. Sio kila mtu anawasiwasi na spea au ulaji wa mafuta. Wengine they are much more after lifestyle and fashion - money is not a problem.

   Labda uniambie, ungetegemea kununua gari la kiasi gani, na ungependa matumizi kwa siku (kwa mizunguko ya hapa na pale, kwenda ofisini na kurudi) iwe kiasi gani. Then tuangalie options nzuri kwako.

   Karibu sana mkuu! ​

   .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....
   
 4. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  uliomba ushauri kama huu wangu?? Alikuambia uchukue ipi?. Nidokeze japo kidogo.
   
 5. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naenda pembeni kidogo ya option zako. Kama unataka kuwa stress free nunua corolla 111, spea zake zimejaa tele na cha ghali utakachonunua kitakuwa labda laki1. Gari ni durable na nzuri kwa matumizi ya kila siku. Kitu kama gari, unaponunua tegemea expansion ya watumiaji, mf unaweza kuoa au kuolewa, ukapata mtoto nk, gari kama vitz, swift nk si ideal kwa long run.

  Kingine cha kuconsider ni utakapolichoka gari au utakapokuwa huna mahitaji nayo kwa mfano familia imekua. Hizi gari ndogo sana uuzwaji wake ni balaa. Utapewa offer za mil2-5 mpaka ukasirike. Ila kwa gari kama corolla hata mwenye kutaka biashara ya taxi atakutafuta umuuzie kama iko kwenye hali nzuri, unaweza kuuza 7ml kuendelea. Fuel consuption sio mbaya, nyingi zina 1.3cc na nyingine 1.5cc... Kodi yake ya kuiingiza ni kama 3.5-4m, kwahiyo kama utalinunua kwa cif ya dola 2500, basi kwenye 7-8m utakuwa barabarani.

  All the best.
   
 6. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nunua Nissan yoyote ile isipokuwa march, suny za zamani, na manisan flani ya belgium, materrano flani hivi.
  issue sio upatikanaji wa spea kwa bei nafuu au upatikanaji wa used spare parts............Issue hapa ni kupata spare part sahihi ambayo ukifunga unasahau.......
   
 7. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  @Dolytine, hizo corolla si zinabeba watu wanne km swift/vitz?? I thk kwa ishu ya ku-expand siyo bigdeal..ila nimekusoma kwenye ku-resale..... Asante ndugu kwa ushauri..@ memo!
   
 8. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2014
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  I know this comment was relevant by the time it was given. My question is....
  In the current market where we are now, does it still stand?
  I know there are lots of Vits and lots of spare parts outlets, does the price still remain up?
   
Loading...