Naomba ushauri toka kwenu wa dau

Naomba ushauri toka kwenu wa dau

Mwanamke mwaminifu anarangi gani? Mkuu we lia na mungu wako tu ndiyo solution.
 
mke mwaminifu is direct propotional to mke mwema.
"mke mwema hutoka kwa bwana",subiri aachike!
 
mke mwaminifu is direct propotional to mke mwema.
"mke mwema hutoka kwa bwana",subiri aachike!

Unataka kumtafutia aliyeachika!!! una matatizo ww!!!!!
 
Usiumize kichwa, binadamu ni kitabu kisichosomeka. Hao wanaodhaniwa ni waaminifu ni kwa sababu tu hawajakamatwa lakini siyo waaminifu. Hakuna aliyekamilika.
 
Niliwahi kuuliza swali kama hilo, nikajibiwa.'ukitaka kujua sifa za binti, muangalie mama yake'.
 
Back
Top Bottom