Mie huwa siketi chini kungoja ahadi. Grab the post na ufanye kazi. Halafu ungejisogeza mbali kiasi na familia yako, ukileta mchumba tutarudia hizi hadithi. Kwani ukikataa hiyo post si jamaa anaweza kukuona useless pia? Kama ni mtu proffessional ndo atakuunganisha kabisa. Binafsi nilishapigiwa kick na boss wangu na akiniaga alisema kabisa nasikitika ila hii ni kwa future yako( ilikuwa same company ila branch ya nchi nyingine)