Tecno inaanza na 86, ha ha ha nimecheki hapo nikatest Kama ni original
Wakati amekwambia budget yake laki 4!!
Ila inapiga kazi vizuri tu sio Kama michina mingine, other tecno huwezi ingia app store ZA android ila yangu naweza.Techno ni mchainizi!!