Nunua samsung galaxy na kama una pesa nunua blackberry Z 10....samsung ina android ina support application nying sana kwa uchumu wetu...
Kuchek kama ni orignal just dial *#06# kama imei itaanza na 35 basi simu ni orignal kama tofauti na hapo kimeo...kuna namna nyingine pia ngoja wadau waje
Asante sana kwa ushauri wako. Na katika hizo Samsung Galaxy ni ipi inafaa
Tecno inaanza na 86, ha ha ha nimecheki hapo nikatest Kama ni originalNunua samsung galaxy na kama una pesa nunua blackberry Z 10....samsung ina android ina support application nying sana kwa uchumu wetu...
Kuchek kama ni orignal just dial *#06# kama imei itaanza na 35 basi simu ni orignal kama tofauti na hapo kimeo...kuna namna nyingine pia ngoja wadau waje
Bajeti yangu ni laki nne
Bajeti yangu ni laki nne
Wakati amekwambia budget yake laki 4!!Kama una laki nne nakushauri uchukue samsung galaxy nexus yenye dual core processor, internal memory ya 16GB, 1GB RAM na inarun latest android version 4.3 Jelly Bean. Unaweza kununua online kupitia ebay na akama ukiitaka kuinunua kwa huku bongo unaweza kuipata kuanzia laki tano hadi saba.
Bajeti yangu ni laki nne