Ideas Vuitton
New Member
- Mar 30, 2015
- 2
- 0
Hlw habare zenu
wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22
siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n
nikamuomba namba yke akanipa then tukaanza kuwa close nikamtongoza
akanikubalia so tukawa wapenzi nikashangaa baada ya siku chache tu
akaanza kuniomba hela nikampa mara oooh! bby unitumie hela nijiunge
kifurushi cha wiki nikampa cha ajabu tangu nimempa hela ya kifurushi
wala hanitafuti kabisa mpaka mm nianze sometimes nikimpigia anakata n
akipokea nikimuuliza mbona unakata simu yngu anasema hajisikii kuongea n
mm sasa hv kweli kuna mapenzi hapo au tunapotezeana muda tu je niachana
nae au niendelee kumvumilia??? naombeni ushauri plz ndugu zngu
Hlw habare zenu wakubwa heshima kwenu n madogo mambo vp mm ni kijana mwenye miaka 22 siku moja wakati npo mtaani nikakutana n binti ambae nilivutiwa nae n nikamuomba namba yke akanipa then tukaanza kuwa close nikamtongoza akanikubalia so tukawa wapenzi nikashangaa baada ya siku chache tu akaanza kuniomba hela nikampa mara oooh! bby unitumie hela nijiunge kifurushi cha wiki nikampa cha ajabu tangu nimempa hela ya kifurushi wala hanitafuti kabisa mpaka mm nianze sometimes nikimpigia anakata n akipokea nikimuuliza mbona unakata simu yngu anasema hajisikii kuongea n mm sasa hv kweli kuna mapenzi hapo au tunapotezeana muda tu je niachana nae au niendelee kumvumilia??? naombeni ushauri plz ndugu zngu