Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Hayo mambo ya kawaida kwa wake wenza. chagua mmoja uanze upya. ila nina walakini na huyo wa pili, mara nyingi mwanamke akishazaa mwanaume yoyote atakayeonesha harufu ya kuoa humng'angania kisawasawa hata kama hampendi. Huyo mliyezaa naye anaweza akawa anakupenda nahisi angekuwa anatafuta sababu muaachane hiyo ilitosha kabisa kusema "it's over"
Fanya Home work yako kwani hakuna kosa kama kosa la kukosea kuoa mtu asiyestahili. Ukiona anayefaa endela na huyo ukiona hawafai wote. Achana nao Kuanza upya si ujinga usioe only because una please mtu utakuja juta sana huko mbeleni. Ndoa ni for life wala huwezi kuja jisahihisha baadae, ikisha toka imetoka
Huyo wa pili anagombania kushika main position. Unadhani anafurahia kukaa kwenye standby? Anachofanya usimlaumu. Ni katika harakati za kushika namba moja.
uwezi ukasummarize?
Inanikumbusha jamaa yangu mmoja aliyesema akina dada siku zote waambie uongo kwa kwenda mbele, ukijidai kuweka wazi kila kitu ndio matatizo haya yaliyokukuta ! Sasa we tulia maana wote wawili wanaijua ishu, we kaa angalia reactions za kila mmoja, wewe unakua kama jaji wao hapo ndo mahali pa wewe kupata sifa!
Huyo wa pili anagombania kushika main position. Unadhani anafurahia kukaa kwenye standby? Anachofanya usimlaumu. Ni katika harakati za kushika namba moja.
Asante Mihayo kwa ushauri na nimejitahidi kufanya home work hadi kichwa kinauma maana huyu wa pili kitendo chake cha kumuandikia yule wa kwanza ndo kikanikatisha tamaa kabisa maana sijui nia yake nini
Inawezekana huyo wa kwanza anakuona unamzingua tu, ndio maana anaona ajianzishie miradi ili awe na uwezo wa kujikimu kimaisha yeye na mtoto wake. Kwa haraka haraka naweza kusema wewe ndio huna mapenzi ya kweli kwake kwa sababu hujawa mvumilivu.
Je ni hatua gani umechukua kumshauri na kuongea juu ya hicho unachokisema kabadilika? Je wewe ulipoanzisha uhusiano mwingine ulimwambia? Na je kama vile wewe ulivyo na uhusiano na mtu mwingine yeye anao uhusiano na mtu mwingine zaidi yako?
Umemshauri na kumuonya kwa muda gani hata ukaamua kumchanganya kwenye uhusiano? Umemwambia kwamba tabia zako mbaya siwezi kuwa na wewe ila nina mwanamke mwingine?
Mbona yeye alipoona huo utumbo wa huyo binti, hakufanya ushari wala kutukana, wala kukutukana wewe akakuonesha?
Think!!!!! Mi naona wewe ndio hujielewi hata kidogo. Huyo mama mtoto wala hana makuu, itakuwa kakusoma kakuona waru waru akaamua ajiimarishe kimaisha tu.
Kama vipi mweleze ukweli umuache alee mtoto wake, na wewe uendelee na huyo mshari wako. Tena kwa taarifa yako huyo binti wa pili hana hana roho ya kulea mtoto ambaye hajamzaa........asingeweza kukuanika hivyo kwa mama mtoto wako. Ahiii angalia manake mie wanaume Vigeu geu na wasio na msimamo wa maisha katika mahusiano nawachukia na kuwaogopa kama Malaria π

Uko kwenye mtanziko mkubwa..ushauri wa kwanza - tulia punguza kabisa mawasiliano na huyu wa pili ili uone reaction yake,usifanye papara.Kwa Huyu wa kwanza jishughulishe na mtoto wako basi, acha aendelee na maisha yake kama ambavyo amekudokeza.
Hakuna jambo baya kama ku-deal na watu wasiojali feelings zako...hawajali kama vitendo wanavyovifanya vinakuumiza au la.Tulia mkuu..mambo mazuri hayataki papara