Naomba ushauri please wasomi wenye hekima na maarifa nisaidie ili nisome kitu chenye manufaa

LTN USU WA MADOSO

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,193
859
Mimi nimemaliza advance mwaka 2014 ufaulu wangu, General studies, E, history -C, kiswahili -B, English language-E, division three ya 13 .

Nahitaji mnisaidie kunishauri Kati Ya kozi hizi ipi nzuri zaidi ambayo itanisaidie kwenye kujiajiri Au kuajiriwa naomba ushauri maana humu kuna watu wana maarifa makubwa na uelewa mpana zaidi.

01: bachelor of art in social psychology.

02: bachelor of art in sociology.

03: bachelor of social work.

04: bachelor of art mass communication.

05: bachelor of library and information management

06: bachelor of art in natural resources.

07: bachelor of art in journalism.

08: bachelor of art public administration.

09: bachelor of human resources management.

10: bachelor of business administration with Education

Kati ya hizi kozi ipi ambayo ni nzuri zaidi nisome waungwana? Naomba ushauri wenu
 
Hizo kozi zote ulizotaja ni za kiboya ukizisoma UTAJUTA hususani kama unatokea familia masikini
 
Nishauri mkuu nisome kozi ipi
Nakushauri angalau kozi inayounganisha Education na IT (eg Bachelor of Education with IT ) halafu masomo ya kufundishia chukua KL - Kiswahili & English.

- Utapata ajira serikali, sekta binafsi au globally ( Jana tu kuna tangazo la kazi limeletwa humu la ubalozi wa US wanataka walimu wa Kiswahili ila wanaojua English wakafundishe US )maana utakuwa Mwalimu wa 21 Century na hata kama hutaajiriwa unaweza kusurvive kwa IT tu.

- All in all kujisomea mara kwa mara na kuongeza ujuzi kwenye taaluma yako ni SUALA MUHIMU sana
 
Inabidi wewe kwanza ufikirie kozi ipi inakuvutia, ningeshauri uzisechi google uone zinahusu nini na kipi kinakuvutia kujiona unapendelea na hautachoka masomo katikati.
 
Nakushauri angalau kozi inayounganisha Education na IT (eg Bachelor of Education with IT ) halafu masomo ya kufundishia chukua KL - Kiswahili & English.

- Utapata ajira serikali, sekta binafsi au globally ( Jana tu kuna tangazo la kazi limeletwa humu la ubalozi wa US wanataka walimu wa Kiswahili ila wanaojua English wakafundishe US )maana utakuwa Mwalimu wa 21 Century na hata kama hutaajiriwa unaweza kusurvive kwa IT tu.

- All in all kujisomea mara kwa mara na kuongeza ujuzi kwenye taaluma yako ni SUALA MUHIMU sana
Asante kwa ushauri mkuu but vyuo vingi vinavyohusisha IT vinataka uwe umesoma science
 
Nakushauri angalau kozi inayounganisha Education na IT (eg Bachelor of Education with IT ) halafu masomo ya kufundishia chukua KL - Kiswahili & English.

- Utapata ajira serikali, sekta binafsi au globally ( Jana tu kuna tangazo la kazi limeletwa humu la ubalozi wa US wanataka walimu wa Kiswahili ila wanaojua English wakafundishe US )maana utakuwa Mwalimu wa 21 Century na hata kama hutaajiriwa unaweza kusurvive kwa IT tu.

- All in all kujisomea mara kwa mara na kuongeza ujuzi kwenye taaluma yako ni SUALA MUHIMU sana
Nashauri hivi pia.

Hata Rwanda wameomba Tanzania walimu wa kiswahili wakafundishe kwao.

Kwa kuwa ni HKl hizo course zote hapo juu zitasumbua kwenye ajira,Jaribu kupitia ripoti za PayScale uone degree zenye soko ulimwenguni kwa karne hii.

Soma Education.
 
Je? Nisome bachelor of business administration with education?
 
Ni nzuri pia...

Lakini BBA inataka kuopt vizuri ili ufanikiwe,so unataka kuopt sehemu zipi?
Sijaijua vizuri maana ipo kwenye faculty za education kwenye open university je? Hii kozi unakuwa Mwl. Au nani ndoo sijui hata hapo
 
Back
Top Bottom