Naomba ushauri nifanyeje

wakome waache ujinga ... nadhani ulikuwa mteja mzuri wa buguruni na kona bar
 
wakome waache ujinga ... nadhani ulikuwa mteja mzuri wa buguruni na kona bar

Buguruni wachafu wachafu, Enzi zile Kino makaburini na mitaa ya Silent Inn ndo kulikuwa na vituz. Hakuna kusalimiana, kupeana namba za simu wala kujuana. Kibiashara. Vijana wa Chuo wote wenye mademu ni kwa vile wanapenda Free P*mbu, hawana hela kwa vile hawana kipato huku mademu wana tamaa wanataka vitu vizuri...

Kama Kuna demu wa Chuo yuko humu ametulia na boyfriend wake hana mchepuko wenye kumuhonga ajitokeze hapa atoe ushuhuda. Hata vijana wanajua hilo, Mimi katika miaka 6 ya kusoma Chuo nimeshuhudia mamia ya wanaume wakigegedewa mademu wao bila wao kujua. Mademu wengine wanaingia FRONT kujiuza kabisa then vivulana vinafurahia kuwekwa picha zao sijui instagram WTF
 
ok sawa....Mi nipo misele...mida
Na wewe una revenge kwa tigo?
weak ppl accept defeat and mistreatment

we wawinde....watakujua pia watakuwinda....revenge will take you no where....mwisho wa siku you will loose tena kwa aibu...kutumia muda mwingi kubomoa kwa nini usitumie muda hii kujenga?
 
Na wewe una revenge kwa tigo?

we wawinde....watakujua pia watakuwinda....revenge will take you no where....mwisho wa siku you will loose tena kwa aibu...kutumia muda mwingi kubomoa kwa nini usitumie muda hii kujenga?

why ufikirie hivyo?
 
Yan huyo demu wako ameshindwa kukaa hostel na kuishi kwa bumu akakimbilia mtani kufanya anasa.

acha uvivu, sepa tu. Katafute mwanamke wa size yako. Huyo humuwezi, ata baadae ofisini ataanza knunuliwa hadi magari.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…