Naomba ushauri nifanyeje

Kweli wanaume wamesha siku hizi...badala ya kukaa kupambana na maisha..unaenda kujipeleka kupata miwaya kwa sababu ya kuendekeza mapenzi ya kitoto na kishamba kisa kuogopa maisha..pole sana..unanikumbusha stori ya zaituni(si jina halisi) wa kijitonyama ..alipima akawa negative akapima baada ya miezi mitatu kikawaka miwaya kapewa kwa mtindo huo huo..akamwambukiza na jamaa wake mfanyabiashara..yaani siku hiyo ofsini vilijaa vilio tu baada ya kutoa majibu..haya wewe endelea tu
 
Unajua maishani shida haaziishi dogo. Leo katoa papuch sababu eti ya ada. Mbona hakulipiwa tu ada na aendelee kukaa hostel ila amepewa hadi chumba? Sasa huyo ukija kuoa kila pakiwa na shida mwenzako hataona kutumia kitega uchumi chake kuwatoa kwenye matatizo, si ushalegea mara ya kwanza. Huyo mwanamke wako ana tamaa na sio shida. Ila nafikiri pia ni binti ambaye kama ungekua una uwezo vizuri labda angetulia maana kuna chembe ya kujutia kidogo. Lakini ni LABDA!!! Women these days...
Halaf embu kaa utathmini maana halisi ya kuitwa mwanaume na ujiangalie ww hizo sifa za kuwa mwanaume wewe unazo kwa asilimia ngapi?
 
Du hiyo kujua tu katembea na mtu tofauti na ww ni janga
 
Last edited by a moderator:

Yan ka!!! uyo mwanamke anachezea bahati...ngekua mm ngepima na uyo mbaba ngeendelea nae tu coz watu wenye family wanajua kutunza na kujali....nasema ivo kwasabab baadhi yenu wanaume amna shukran hata kidunchu dada wawatu anaonyesha upendo kwako lakin mwisho wa siku utasahau yote na utamuacha uyo dada tena utamuacha kwa mbwembwe sana tu...kiushauri mwacha dada wawatu aendelee na mbaba wake unatia doa kwenye penzi lao...
 

Watu mnafurahisha kweli kweli, sherehe ya kuhamia nyumba ya kupanga tena vyumba vinne sijawahi kuona wala kusikia. Wengine wanajenga mabangalow ya uhakika jf nzima inaweza kuenea humo na wanajisogeza kimya kimya na kumshukuru Mungu.

Labda she had to do what she had to survive but she is enjoying the life hapo ndio pagumu, uwezekano wa yeye kutafuta mzee mwingine hata akiachana huyu ni mkubwa sana ili aendelee kumaintain status yake. Hajawahi kuishi maisha anayoishi ona hata mama yake anashangaa mtoto katoa wapi.
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage

Asipokuelewa na kuufanyia kazi ushauri wako tafadhali niambie nikaiedit ignore list yangu.

Vijana wa dot com huwa hawachoki kunishangaza.
 
na bibie anaforce kumwambia huyo mzee waachane sasa nafikiria wakiachana nani atampa hela ya matumiza kila siku mimi sina hizo hela???

r.i.p tanmo...... 🙁
 
Last edited by a moderator:
Subiri UGRADUATE WITH AIDS WAKATI WENZIO WANAGRADUATE NA A's ndo kijijini kwenu watakulilia kweli! Namaaaaaaaf zako, taifa linaingia deni lisilolipika msome fu kupign FREE tu huko ndo biashara yenu!

Teh teh teh, acha madogo wa enjoy free P!
 
We unamshaurije? kusuka mi naona ni ghali kuliko kunyoa.

Ahaaaa babu.....za kuambiwa achanganye na za kwake.....sasa kama A na B zote sawa ni juu yake.......
 
mkuu kizuri Kula na mwenzako!hapo we potezea as if hajawai gegedwa na kibabu.We kaa nae chini mpesomo aachane na kiba u then muanze fanya maisha Tu.
 
Naona umeeleza vyema ila mwisho umejijibu vyema sana "je ni nani atamgharamia akiachana naye na mimi sina kitu???"

Cha kwanza rudi kwako then mengine yafuatie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…