Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
Mimi ni kijana wa miaka 19 Baada ya kumaliza kidato cha 4 mwaka 2014 katika shule ya serikali na kupata GPA 0.6
Yaani
Math F
Civics E
Kiswahili C
Geography F
History D
Biology F
E.Language D
Sasa nataka mwakani niende kidato cha 3 kusoma ili nitafute C mbili ili nisome kidato cha 5.
Swali langu ni hivi je nikienda shule ya sekondari ya serikali nikasome kisha nijisajili kama mtihaniwa binafsi je watanikubalia?