UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
Jamiiforums jamvi la great thinkers Naomba kushauriwa
Nataka kununua gari ya kutembelea isiyozidi M 6 Ila isiwe vitz,passo,.
Ushauri mwingine naomba kujua kuagiza gari used Japan na kununua hapa tz wapi gharama inapungua na je gari ya m 3 kutoka Japan naweza kuitoa bandarini kwa bei gani