Wakuu nahitaji kununua kununua printer kwa ajili ya office yangu..printer ya karatasi sio t-shirts..nahitaji iwe na minimum spcs:
1. Printing speed angalau 50ppm
2. Colored au Black/White
3. Canon au nyingine nzuri
4. A3/A4
Na pia ningependa kujua kama inaweza kupatikana hapa tanzania,na kwa kiasi gani.
Nimejaribu kuchek Amazon,models nilizoona pale sijaridhika nazo..na hata hivyo zile zuri hawaship kuja Tanzania.
Kikubwa nahitaji kujua namna ya kuipata..