Naomba ushauri nahitaji kufungua kampuni

Kichochoro

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,135
1,163
Wakuu Kama kichwa kinavyosomeka nahitaji ushauri nataka kufungua kampuni.

Naomba hasa ushauri ni kampuni gani itanilipa endapo nikifungua kwa mtaji wa 30mil namaanisha niisajili itambulike serikalin!

Naomba ushauri hasa ni ipi itanilipa!
 
Avatar yako ni kielelezo tosha kujua psychological yako. Hiyo kampuni uwe makini.
 
Hivi we jamaa...hata kampuni unayotaka kufungua hujui alafu unaomba ushauri....hivi unajielewa kweli...????

Anyway....fungua kampuni ya ulinzi
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hivi we jamaa...hata kampuni unayotaka kufungua hujui alafu unaomba ushauri....hivi unajielewa kweli...????

Anyway....fungua kampuni ya ulinzi
Dah ungetoa ushauri mimi ndo ningechambua mada iliyopo hapo ni tofaut na unachoniuliza!
 
We jamaa una kichaa Jana si ulileta Uzi wa namna hii watu wakafunguka kilankitu halafu leo unauliza swali Lile Lile.

Huwez kuwa na kampuni wewe.
 
We jamaa una kichaa Jana si ulileta Uzi wa namna hii watu wakafunguka kilankitu halafu leo unauliza swali Lile Lile.

Huwez kuwa na kampuni wewe.
Una uhakika Jana nimeleta Uzi Kama huu! Siyo bure ww umelogwa!
 
Haha nimeona watoto wengi JF ila wewe mtoto sana duu.

“Kampuni gani inalipa” aisee
 
Back
Top Bottom