Mgimilamaganga
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 266
- 257
Habari za asubuhi ndugu zanguni.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Kwa miaka mingi nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali katika sehemu tofauti.
Matatizo hayo ni pamoja na:-
1)kufunga choo-licha ya kwamba nakula matunda,mboga za majani na kunywa maji kwa wingi.
2)kuhisi vitu vinatembea mwilini.
3)Dalili za kuwa na bawasiri
4)Mishipa kuvuta sehemu ya chini ya kitovu.
Na takribani miezi miwili sasa tumbo limeanza kuunguruma upande wa kulia sehemu ya chini na kuna wakati yanafika mpaka kwenye nyonga.
Sasa jamani naomba ushauri juu ya hili pamoja na sehemu ya kupata tiba na makadirio ya gharam zake.
Kwa sasa naishi Dar Es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app