Chalii mbona unaleta USHAMBA wa kiduwanzi mzee....
Kwani nikijisifia kuwa nawa BANJUA na kuwa GONGA mademu then nawatema nasepa mbele....
Wewe kinacho KUUMA hasa ni kipi... Utadhani nimetangaza kuwa huwa nambanjua dada yako yerooo.... Eeboooo....
BULL SHIIT... This is BULL SHIIT..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Tafuta kazi kwanza...Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi, sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu kabadilika kama wiki kazaa zilizopita, nikimtumia SMS hajibu kwa mda, nkimtumia SMS kwa WhatsApp baada ya mda itaonesha Derivering kuwa imesomwa lakin haijibiwi, mda mwingine nikimpigia simu hapokea, nmejaribu kumuuliza shida nn anasema Yuko bizy, kibaya zaidi nikimwomba game ananiambia hana mda wa kufanya hivyo, yaan ninampenda huyu bint ila inaniuma sana. Naomba ushauri wako nifanyaje!!
Ni incompatible hamwezi kwenda sawa,yeye kwanza ni mwalimu wa sekondari wakati wewe ni wa kijiweni na pia shule hujaenda kwa sababu hata kule kuandika tu kiswahili fasaha huwezi,kiswahili ulichoandika humu utafikiri Kizaramo.Unamtia aibu mwenzako ndio maana amekushitukia, tafafuta wa tabaka lako.Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi, sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu kabadilika kama wiki kazaa zilizopita, nikimtumia SMS hajibu kwa mda, nkimtumia SMS kwa WhatsApp baada ya mda itaonesha Derivering kuwa imesomwa lakin haijibiwi, mda mwingine nikimpigia simu hapokea, nmejaribu kumuuliza shida nn anasema Yuko bizy, kibaya zaidi nikimwomba game ananiambia hana mda wa kufanya hivyo, yaan ninampenda huyu bint ila inaniuma sana. Naomba ushauri wako nifanyaje!!
futa hiyo namba yake bro ..Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi, sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu kabadilika kama wiki kazaa zilizopita, nikimtumia SMS hajibu kwa mda, nkimtumia SMS kwa WhatsApp baada ya mda itaonesha Derivering kuwa imesomwa lakin haijibiwi, mda mwingine nikimpigia simu hapokea, nmejaribu kumuuliza shida nn anasema Yuko bizy, kibaya zaidi nikimwomba game ananiambia hana mda wa kufanya hivyo, yaan ninampenda huyu bint ila inaniuma sana. Naomba ushauri wako nifanyaje!!
Ha ha haHata mimi siku hizi naona kwa joanah wangu hali siyo shwari tena!.......hawa mbwa mwitu wanaomwiba joanah wangu huko pm na walaaniwe!
![]()