Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,438
Kwanini umetumia new id bwana @ Gentamycine?Habari wana Jamiiforums
Nilisafiri kwa muda wa siku kama 35 nikaenda Morogoro kufanya kazi, baada ya kukaa siku kama 30 nilirudi nyumban ghafla kwenda kumsuprise mke wangu maana nilikuwa nimemmiss nilipofika nilipigwa na butwaa baada ya kugundua kahamisha nguo zake, viatu, vyombo na kila kitu alichonunua yeye pale ndani na kabakiza vitu vichache sana.
Basi baada ya kumuuliza vitu vyake viko wapi amesema amevipeleka kwa rafiki yake ambae mim simjui.. baada ya kukosa maelezo ya kutosha niliondoka nyumbani na kurudi jioni nikakuta kabeba kila kitu kaondoka.. baada ya kufatilia nikajua ameenda kanisani kwenye semina. Hakurejea kabisa nyumbani na kwa muda wa siku 3 hapatikani kwenye simu na wala sikujua yuko wapi.. hata wazazi wake pia hawajui. Baada ya siku tatu akaanza kupatikana kwenye simu yake ndio akaitwa kwa wazazi akaenda na kusema ameamua tu kuondoka maana ameona hatujafunga ndoa na tumekaa miaka 2 hivyo amechoka kudhini anataka amrudie Mungu wake. Ni kweli ndoa hatujafunga lakin taratibu za kiafrika zimefuatwa. sina shaka sana na kuchepuka kwa kuwa hana tabia kama hiyo. Kiukweli nimepata stress sana.. mpaka sasa sielewi nini cha kufanya. Naombeni ushauri
⚰️sina shaka sana na kuchepuka kwa kuwa hana tabia kama hiyo.
Hapo mbona kama hamna Mke Mkuu.Ah kumbe kunae sababu.. basi tatua, kachoka kuzini mwenzako. Unataka afe akiwa mdhambi mfululu? Pigeni ndoa chap hapo mke arudi ndani, ulisafiri kikazi siku 30 uko na perdiem ya ujazo. Fanya ma process hapo, mke arudi.
Mpe ile slogan yako🤣🤣"alidanganywa na wale, wenye pesa nyumba garee"
"mi kapuku hakunijali"
"akanikimbiaaa....." x2
Asante mkuu lkn sioni cha kushauriNmesoma yote,
ila kiukweli mkuu Huu ujinga uloonesha kwenye ayo maelezo yako na uyo mkeo,
Ndo umesababisha umekimbiwa. Wanawake wahuni upenda nice guys Kama nyie, kakuona dhaifu Sana.
Haya maelezo ukiyaeleza mbele ya wanaume wenye jazba za haraka Sana ,na makofi utapigwa mkuu, jf tunavumiliana sana.
Ulihitaji semina nzito sana ya kiume kabla Ujaoa, ila naamini hujachelewa.
Madini yapo mengi Sana Hapa, ngoja wakongwe waje.
Glenn
Extrovert
Mzee wa kupambania
Mshana Jr
Shimba ya Buyenze
Umeongea la maana sanaBasi Wanaume tulivyo na ujinga utaanza kumbembeleza arudi.
Shukuru Mungu amekuacha ukiwa na nguvu,bila shake angekuja kukuacha ukiwa mgonjwa kitandani.
Usimwamini Mwanamke kamwe,ishi nao kwa machale.
Sina shaka sana na kuchepuka kwa kuwa hana tabia kama hiyo. Kiukweli nimepata stress sana.
Mpaka sasa sielewi nini cha kufanya.
Naombeni ushauri
😂 😂 😂 😂 😂Mpe ile slogan yako🤣🤣
Hamna Mwanmke pale, Kuna kibaka.Sasa kwanini usiende uko uko kanisani kwake ukamwambie unataka kufunga ndoa? Hili tatizo unaweza kulitatua kabisa! Panga tuu tarehe ya ndoa!
Usitoe mwanya wa watu wa kanisani kwake wakaanza kuzini nae kama wewe kuwa makini……