Kama tittle inavyojieleza mimi ni muhitmu wa form six nimepata two ya 10, natamani sana kusoma kozi hiyo hapo juu, nahitaji ushauri kwa waliosoma kozi hiyo. Natanguliza shukrani.
kama tittle inavyojieleza mm ni mhitmu wa form six nmepata two ya 10,nataman zsana kusoma koz hyo apo juu,nahitaji ushaur kwa waliosoma koz hyo .natanguliza shukrani